Pep kajaza viungo lakini timu yake haichezi hadi nikawa nahisi city katutegea mtego kwa jinsi tunavyowashambulia ila kwa jinsi wanavyopoteza muda nikaona kweli kwa kipindi cha kwanza wamefeli maana wana defend sana Bernado anatembea na saka na kashakula yellow kazi itakuepo second half