Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Kimbinu jamaa wamejiandaa vizuri plus wana morale na hali ya kuwa na kocha mpya basi balaa tupu

Wameweza kumzuia Odegard asipate Uhuru wa kuamua game na pia wameziba mianya ya Saka na Martinel alafu Edie wamemuacha huru kwa sababu hapati huduma

Hapo ndio tunaona umuhimu wa Jesus, jamaa angekuwa anahama na beki za kati muda wote kutokana na movement zake anazofanyaga na sio kama Edie ambae ye anastick tu kati anasubiri kulishwa

Labda aingie Trossard maana yeye anacheza tofauti na Martinel, jamaa waga akipata mpira lazima alazimishe kuingia ndani kwa kuwafata mabeki tofauti na Gabi yeye mara nyingi anaangalia second runner wa kumpa mpira

Anyway, tunajua mechi zote ni ngumu ila hatuna namna zaidi ya kupambana mwanzo mwisho #COYG
 
In my opinion Arsenal yetu ni lazima ibebe either EPL au Europa league kisingizio hatuna ,tulitolewa Carabao tukasema worry out ,last week FA tukasema worry out,kwa squad tuliyonayo tumebakiza only two big competitions na tukiwa number 1 kwa EPL na Europa league knock out stage, kulose vs Everton sio ishu kubwa but 5 points remain huku 18 games zimebakia bado tuna Manchester City (home and away)inakuwa ni mtihani mkubwa na sio afya kwa team yetu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…