Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Kuna wakati nilikuwa simuelewi kabisa huyu jamaa. Nilisema humu simuoni kama ni mzuri kama wanavyosema watu kimbinu na man management. Nilivyosikia tetesi kuwa issue ya Ozil ilikuwa Ina siasa ndani yake nikatangaza kutoangalia game zetu mpaka Ozil aondoke na nikafanya hivyo (pia nilijua sitamiss chochote mpira ulikuwa mbovu anyway). Niliona kama alishindwa kummanage auba. Baadae nikampokea tu maana nikakubali ndiyo manager wetu hivyo ni kumuombea Dua njema tu. Akaniudhi Kwa kukosa top 4 kizembe kabisa ila by then sikuwa na mategemeo mengi juu yake .
Kaka na wewe ulikua upande wa Arteta out?
 
Hopes Trossard will manage LW better than the Brazilian
Coach afanye maamuzi ya kumtoa martinnel na ben white aingie tomiyasu kumsaidia saka kuongeza ubunifu upande wa kulia na trossard ni mzuri kwenye touch za kufungua timu inayocheza kwa kupaki bus muda mwingi pia xhaka game imemshinda...super sub ndio mkombozi wetu kwa mech ya leo
 
Ninavyomjua Arteta atafanya sub dakika ya 80 huko badala ya kufanya sub mapema.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…