Interlacustrine E
JF-Expert Member
- Jun 3, 2020
- 3,396
- 6,024
Mmbwa mwenyewe fwala mkubwa weweCancelo angekuwa anarangi nyeusi sipati picha nyie mbwa mngeoongea nin....
Pep hana ubaguzi ila mchezaji yeyote akileta ujuaji mwingi na kujiona special kwenye kikosi ,anaondolewa haraka Sana ,haijalishi Nani ni nani ....
Kumbe yupo!,Mudryk kumbe ni mzururaji mzuri tu!😁
Kwa haraka haraka defensively ni poor.Kumbe yupo!,
Nilikua najua kapigwa bench
Moyo wake haupo pale bro, kila mtu anajua iloKwa haraka haraka defensively ni poor.
Mudryk sijui kafunga mtandao, nikimsachi simuoni!Moyo wake haupo pale bro, kila mtu anajua ilo View attachment 2505463
"It's like you buy a Ferrari expecting to enjoy comfortability and high performance of the car, but you forget to consider the roughness of the road you will drive on."Moyo wake haupo pale bro, kila mtu anajua ilo View attachment 2505463
Huyu wachezaji ameletewa tu na hajui afanye nini ili wampe matokeo"It's like you buy a Ferrari expecting to enjoy comfortability and high performance of the car, but you forget to consider the roughness of the road you will drive on."
Kwa kuitazama mechi ya jana sidhani kama Potter ana idea yeyote ya jinsi ya kumtumia Mudryk au alikuwa anajua atamtumia vipi huyu player kwenye mfumo wake.
Nimejaribu kumtag Chief-Mkwawa ila inagomaNasikia chelsea wamevutwa huko
wahuni wamekwapua simu yangu wakitumia bodaboda, hivi Kama Nina IMEI no. Naweza kutract nikaipata?
Nimetumia email inanionesha sehemu ya mwisho ilipozimiwa nikwenye kituo Cha bodaboda
Sidhani kama uongozi wa Chelsea unamuona Potter kama manager wao in the near future. Hana maisha pale.Huyu wachezaji ameletewa tu na hajui afanye nini ili wampe matokeo
Ila si tuliambiwa yeye ndo Project Manager, inakuwaje tena?Sidhani kama uongozi wa Chelsea unamuona Potter kama manager wao in the near future. Hana maisha pale.
Kama aliyeiba hajui of coz unaweza ipata ila itabidi uwape hongo askari, hawako vizuri kwenye kutimiza majukumu.Nasikia chelsea wamevutwa huko
wahuni wamekwapua simu yangu wakitumia bodaboda, hivi Kama Nina IMEI no. Naweza kutract nikaipata?
Nimetumia email inanionesha sehemu ya mwisho ilipozimiwa nikwenye kituo Cha bodaboda
Shida ya Chelsea ni striker, game ya jana imezidi kuconfirm."It's like you buy a Ferrari expecting to enjoy comfortability and high performance of the car, but you forget to consider the roughness of the road you will drive on."
Kwa kuitazama mechi ya jana sidhani kama Potter ana idea yeyote ya jinsi ya kumtumia Mudryk au alikuwa anajua atamtumia vipi huyu player kwenye mfumo wake.
Nadhan kwa game ya jana siwez mlaum mudryk, coz ule upande wake nikama ulitelekezwa yani mpira mara nyingi ukawa uko kwa ziyech+james.This Chelsea side walianza kama vile they know what they are doing.
Fulham were so confident with the match mpaka Chelsea akaogopa nilikua sahihi kusema Mudryk siyo finisher lakini pia ana weakness zingine ambazo asipojirekebisha atakua kichekesho EPL as timu nyingi EPL zinacheza kiFulham.
Pole mkuu simu ni aina gan?Nasikia chelsea wamevutwa huko
wahuni wamekwapua simu yangu wakitumia bodaboda, hivi Kama Nina IMEI no. Naweza kutract nikaipata?
Nimetumia email inanionesha sehemu ya mwisho ilipozimiwa nikwenye kituo Cha bodaboda
Kama wahuni hawajabadili imei namba unaipata, nenda polisi, watakupa michakato yote.Nasikia chelsea wamevutwa huko
wahuni wamekwapua simu yangu wakitumia bodaboda, hivi Kama Nina IMEI no. Naweza kutract nikaipata?
Nimetumia email inanionesha sehemu ya mwisho ilipozimiwa nikwenye kituo Cha bodaboda