Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,720
Nakubali kabisa, Gorginho Ni mtu wa pasi nyingi, ndio maana Arteta toka anafika Arsenal alimtaka mkatunyima,£13?
Hapana tuongezeeni ifike 20M.
Tunawauzia mashine ya kazi.
Injury free na atafanya vizuri kwenye mfumo wenu wa pass nyingi.
Pass nyingi ndio chakula cha Jorgnho.
£12M kwa mchezaj aliyebakiza 5months not bad.Am told Jorginho fee is looking like £12m.
1.5 year contract plus option a year option.
Arteta a key voice in decision.Naona baadhi ya Arsenal fans wanaponda Usajiri wa Jorgihno.
Na Chavs wanafurahi.
😂 Haka katimu pamoja na mashabiki wake wanataka wamtumie Jorginho kwenye mbio za ubingwa.Arteta toka anafika Arsenal alimtaka Gorginho ,
Ni mindset tu ya mashabiki ,Mimi Sasa moyo utatulia Sasa ,maana kwenda round ya 2 na Partey pekee ,ilikuwa Hatari sana
Jorginho ana haya makombe na Chelsea sio habaJorginho to Arsenal, here we go! Deal agreed on £12m fee, Chelsea accept conditions and documents are being prepared️#AFC
Personal terms agreed, contract until 2024 with option further year.
First contact revealed yesterday night — medical booked.
Arteta, key factor.View attachment 2501206
Unaumia ukiwa wapi?Haka katimu pamoja na mashabiki wake wanataka wamtumie Jorginho kwenye mbio za ubingwa.
Hamjifunzi tuu na hao Chelsea cast-off?Arteta a key voice in decision.
@TheAthleticFC️
Wewe una akili kuliko MIKEL Arteta ?Hamjifunzi tuu na hao Chelsea cast-off?
Kilichonivutia Kwa Jorginho alivyokuja kwenu ni long balls na line breaking passes out from deep. Alikuwa muanzisha counters mzuri sana. Anapokea pasi Kwa beki, anageuka anapeleka through ball Kwa striker ama winger. Martinelli, Saka, Trossard au Nketiah na Jesus watazifurahia hizo. Labda kama makocha wamembadili ila mie niliona hiyo ilikuwa strength yake nilivyomuangalia misimu kadhaa iliyopita. Tunaomba aje yule.Sina shida na Jorginho
Uchezaji wake mbaya kwa baadhi ya mechi za Chelsea inaweza kuwa mifumo ya makocha, waliomzunguka nk
Ila ukweli ni huu Arteta akiweza kumguide aache tabia ya kukaa na mpira kwenye mazingira ya hatari hadi ananyanganywa na kusababisha unnesesary counter attack kwa opponent basi anaweza akawafaa sana kwa short term plan. Ni short pass passer mzuri, anaweza pia kupiga long passes, sijamuona akipiga through passes za kubreak lines. Tabisa nyingine ni too much back passes na saa nyingine hizo back passes anapiga hata bila kuangalia zinaishia kwa nani?
So Arteta anakazi ya
1) Kumuwezesha aache kukaa na mpira hadi anyang'anywe na opponent
2) aache tabia ya kupiga back passes kiholela
Akisolve hizo changamoto mbili atakuwa good signing