juan david
JF-Expert Member
- Jan 23, 2013
- 3,952
- 5,438
Yeah Pep alimtaka, Sarri akapita nae.Since kitambo Arteta na Pep wamekuwa wakimuhitaji sana
Kama unakumbuka alitakiwa awe kwa Pep
Kuna fans wapo tayari tubaki na lokonga halafu tugombee EPL na Europa
Caicedo wamekaza kumuachia
Kivipi mkuu??Ile AseNANE ya kupeleka moto sasa itapoa sana
Ni mashabiki wachache wenye akili Kama zako,Mkuu hizi ni short term plan...! Arteta anaangalia kila uwezekano wa kuendelea kubakia katika mbio za ubingwa, kwahiyo kwenye shida anajaribu kuziba kwa wakati
Ndio alichokifata kwa Trossard baada ya kumkosa janjaro aliekimbilia Chelsea, na sasa baada ya kuhisi kumkosa Moises ameona bora aangalie mchezaji ambae atakuja kuleta impact ya moja kwa moja kwenye timu
Mimi kama Arsenal fan nitafurahi tukimpata jamaa maana ataongeza kitu katika first eleven kama atapata namba na pia ataleta hali ya kujiamini kama ilivo kwa Zinny na Jesus maana jamaa ni winner
Kama atakuja nahisi atapewa mkataba wa miaka 2 maana najua hawezi kukubali mwaka mmoja, lakini pia kwa mkataba wa miaka miwili inakuwa ni nzuri zaidi kwake lakini pia kwa team
Sioni ikitolewa £20m , Sana Sana £10-15mYeah Pep alimtaka, Sarri akapita nae.
Hapa Chelsea ni kama wanataka kupata faida maana summer anaondoka bure, na mpk sasa hakuna dalili ya kuongezewa mkataba.
Mkileta hata 20M itakuwa sio mbaya japo nitaumia.
Kivipi mkuu??
Dadavua sasa, kimpira, how Jorginho, ambaye Pep alimhitaji City kabla hajatua Chelsea, anaenda ku slow down mashambulizi ya Arsenal?Jorginho
Jorginho anawapa solution ya short term bila kuaffect budget especially ungwe hii ya kumaliza msimu. Onana utaambiwa mlipe mil 60 na uwezekano wa kumpata ni mdogo sanaI know Jorginho is available for cheap but had I been Edu, he wouldn’t have been my choice. Go for Onana
Mtupe hiyo 20MMikel Arteta, understood to be fan of Jorginho and appreciating his skills — this is why is a concrete name for the final hours for Arsenal.️#AFC
…but Chelsea want significant fee to let him leave now
Hatuwez kutoa hiyo Labda €10m + 5 add onsMtupe hiyo 20M