Vipi huko Caicedo mmefikia wapi, Angalia jamaa wakitoka Lisbon wanweza kubadili mawazoMzee mbona unatuonea Arsenal, yaan tuteseke kwa usajili wa Enzo? Si kila klabu ina target zake na Malengo yake
Mimi najua Enzo alikuwa kwenye Rada za Liverpool
Hiyo sheria inaanza kufanya kazi msim wa 2023-24Safi sana bwana Richard
Umegundua pia Chelsea namna wanavyokwepa FFP , hiyo sheria ya mikataba inapitiwa pengine ikaanza kufanya kazi kwenye msimu 2022-23.
Ukweli bado sijajua project yenu ilivyo ila nimeangalia tu uwekezaji wa Todd Boehly kwenye team moja ya NFL naona inafanya vizuri.
Haziwezi kuathiri kitu. Project iki-click itakuwa bingo.Hiyo sheria inaanza kufanya kazi msim wa 2023-24
Deal zote zilizofanyika sasa hazitoathiriwa na mabadiliko yatakayofanywa na UEFA
Kwani tumeshinda mechi izo izo tuMechi 1 Kati ya 10?
Mnasajili Mchezaji wa £100m kwa mechi mbili au moja
Nafasi yake kuna Trossard na MartinelliMkuu Aaron, Kuna huyu Kaoru Mitoma wa Brighton hatufai pale Emirates? Maana naona kama yuko brilliant
Ujanja Chelsea waliotumia ni mbiliWatu wengi hamfahamu uzuri jinsi Chelsea wanavyosajili wachezaji wao.
Chelsea wanasajili wachezaji kwa mikataba mirefu ambayo yaendana na fedha walosema wamemsajili mchezaji husika.
Fuatilineni mikataba ya wachezaji ambao Chelsea imewasajili hivi karibuni ni miaka kuanzia mitano na kuendelea na pesa hiyo itakuwa iikilipwa kwa awamu.
Hata hili dili la huyo Fernandez litakuwa ni la muda mrefu.
UEFA wanajaribu kuziba loophole ya timu kama Chelsea kuzunguka FFP Financial Fair Play Rule kutumia fedha za ziada kutoka kusikojulikana.
Pili, msisahau mawakala ambao nao hupiga asilimia hadi 15 ya hizo fedha hivyo haya masuala huitaji kufuatilia kwa makini ili kuelewa.
Kwa kiswahili husemwa "cha juu" kwamba hizo ada nyingi hutawaliwa na kile "cha juu" na ada halisi huwa ni ndogo.
Hii issue ya Jorginho inaniuma kwa kweli staki aende kwenu yani ni bora tumuache mkataba wake umalizike aende hata huko italia ila sio kwenda kwenuTunahusishwa na Gorginho wa Chelsea kama Brighton wataendelea na msimamo wao
Arteta hataki Round ya 2 kwenda na Partey pekee , maana Albert Lokonga hatoshi na wao wanamuona kama no.8 sio 6
Automatically tunabaki na Natural DM mmoja
Brighton wanasema Cicedo HAUZWI kwa vyovyote
Kwangu Gorginho anafaa kwa system yetu, DM anyepokea mipira kwa back 4,Ila hii timu hii, hivi ndo kuishiwa options au ni nini? Jorginho?
Since kitambo Arteta na Pep wamekuwa wakimuhitaji sanaHii issue ya Jorginho inaniuma kwa kweli staki aende kwenu yani ni bora tumuache mkataba wake umalizike aende hata huko italia ila sio kwenda kwenu
Jorginho ni kiungo wetu pekee ambae mda wote yuko fit ni mara chache sana akawa majeruhi
Jorginho chini ya Arteta atakuwa mzuri zaidi na jinsi mnavyocheza.
Hii habari ya Gorginho, ni alarm kua kuna ofa ya mwisho itapelekwa brighton kama wasipokubali wanaachana na mpango wa kumsajili Caicedo kwaiyo Arsenal wameweka mtego wa azalani kwa Brighton.Tunahusishwa na Gorginho wa Chelsea kama Brighton wataendelea na msimamo wao
Arteta hataki Round ya 2 kwenda na Partey pekee , maana Albert Lokonga hatoshi na wao wanamuona kama no.8 sio 6
Automatically tunabaki na Natural DM mmoja
Brighton wanasema Caicedo HAUZWI kwa vyovyote
Mkuu hizi ni short term plan...! Arteta anaangalia kila uwezekano wa kuendelea kubakia katika mbio za ubingwa, kwahiyo kwenye shida anajaribu kuziba kwa wakatiIla hii timu hii, hivi ndo kuishiwa options au ni nini? Jorginho?
Aje Kwa muda mfupi sana isiwe Yale ya Willian. Pia asipewe penati. Jamaa anaboa sana anavyoruka ruka kama kitoto Cha chekechea akipiga penati. Akiwa jorginho yule wa mwanzoni mwenye line breaking passes kama za Fabregas itakuwa poa sana.Tunahusishwa na Gorginho wa Chelsea kama Brighton wataendelea na msimamo wao
Arteta hataki Round ya 2 kwenda na Partey pekee , maana Albert Lokonga hatoshi na wao wanamuona kama no.8 sio 6
Automatically tunabaki na Natural DM mmoja
Brighton wanasema Caicedo HAUZWI kwa vyovyote
Mkuu hizi ni short term plan...! Arteta anaangalia kila uwezekano wa kuendelea kubakia katika mbio za ubingwa, kwahiyo kwenye shida anajaribu kuziba kwa wakati
Ndio alichokifata kwa Trossard baada ya kumkosa janjaro aliekimbilia Chelsea, na sasa baada ya kuhisi kumkosa Moises ameona bora aangalie mchezaji ambae atakuja kuleta impact ya moja kwa moja kwenye timu
Mimi kama Arsenal fan nitafurahi tukimpata jamaa maana ataongeza kitu katika first eleven kama atapata namba na pia ataleta hali ya kujiamini kama ilivo kwa Zinny na Jesus maana jamaa ni winner
Kama atakuja nahisi atapewa mkataba wa miaka 2 maana najua hawezi kukubali mwaka mmoja, lakini pia kwa mkataba wa miaka miwili inakuwa ni nzuri zaidi kwake lakini pia kwa team
A
Aje Kwa muda mfupi sana isiwe Yale ya Willian. Pia asipewe penati. Jamaa anaboa sana anavyoruka ruka kama kitoto Cha chekechea akipiga penati. Akiwa jorginho yule wa mwanzoni mwenye line breaking passes kama za Fabregas itakuwa poa sana.