£75m inatoshaYaleyale ya Yves[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Haya mambo ndiyo Todd akiyaona anatoa hela bila kujiulizaCaicedo kaanza Mambo ya Mudrky View attachment 2497660
Kuna watu humu Juzi walisema Arsenal hatuna profile ya kumtaka Caicedo ,niliishia kupita tuHaya mambo ndiyo Todd akiyaona anatoa hela bila kujiuliza
Muda wa fans wa arsenal kulikimbia jukwaa lao.
Soko la usajili lishabadilika £100m sasq watu wanaichukulia kama 30-40 ya miaka ya nyumaMpira umekua wa kimiyeyusho sana.
Yaani 80M inakupa Caicedo.
100M inakupa Lukaku
100M inakupa Anthony
100M inakupa Mudryk
72M inakupa Pepe
Anyway, Zubimendi anasubiri ofa ya Barca kiangazi. Arsenal tulijibiwa tusubiri kiangazi, tatizo linakuja pale pale jamaa anaamini ana chance Barca kwakua Busquet anaondoka. Na yeye profile yake ni hiyo ya Busquet
Yani tumesafisha magarasa mengi lakini huyu kabaki kweli uchawi upoHolding holding rubbish