Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,720
Shaffih anajulikana alivyo na chuki na Arsenalshaffih uwa ana akili za kujua yeye tu
game tumecheza usiku imeisha usiku... ila uganda mashabiki wamekamatwa mchana!
Mechi imeisha usiku saa 3Polisi nchini Uganda imewakamata jumla ya mashabiki 20 wa klabu ya Arsenal waliokuwa wakisherehekea ushindi wa magoli 3-2 uliyopata timu hiyo dhidi ya Manchester United.
Mashabiki hao 20 walikamatwa kwenye mji wa Jinja kutokana na kusababisha kero kwa kufanya Gwaride mitaani wakisherehekea ushindi huo jana siku ya Jumapili.
Kwa mujibu wa Monitor, Baker Kasule, ni mmoja wa mashabiki wa Arsenal waliokamatwa na polisi amesema kuwa askari wa doria walishuka kwenye gari na kuwataka kuingia. "Sijui tumefanya nini, tulikjuwa tukisherehekea ushindi wetu dhidi ya Manchester United.”
HII INAITWA SHANGILIA USINIGUSEMKOMEEEEEView attachment 2492830
Sio kwel fatlia vzrMechi imeisha usiku saa 3
Wamekamatwa mchana
Hizi habari mnazitoaga wap
Huyo hapo raisi wenu nae ameripoti hii habari, sasa sijui unachobisha ni kitu gani?Mechi imeisha usiku saa 3
Wamekamatwa mchana
Hizi habari mnazitoaga wap
Sasa Edo kumwembe si mtu wa utani Sana huyu ,Huyo hapo raisi wenu nae ameripoti hii habari, sasa sijui unachobisha ni kitu gani? View attachment 2493027
Alikuwa anamtaka Cucurrela tajiri miluzi akavamia deal.Hivi ilikuwaje Guadiola akamuuza Zincheko
Fact kwamba alikuepo hadi game na Westham ndiyo ilizidi kua maajabuHawa Everton wametimua kocha, na mechi ijayo tupo nao. Hawatasumbua hawa?
kama kocha wao alikuwa ni tatizo kweli basi game ijayo wachezaji wata perform sna kutaka kupata matokeo ;so tutarajie mechi ngumu.Hawa Everton wametimua kocha, na mechi ijayo tupo nao. Hawatasumbua hawa?
Ila Madrid wameonyesha hawana nia ya kumuachia.
Ceballos angebaki Arsenal
Pengine Arteta angembadilisha.Ceballos BiG NO