Hii game ya leo ilitakiwa tushinde. Against City itabidi tucheze kama underdogs tusishindane nao ufundi na possession, turely kwenye speed, transition na counter.Nadhani sote tunakumbuka mbio ambazo Pep na Klop walikuwa wanakimbizana na muda huo wote wana wachezaji matured enough
Klop aliwahi kumwacha pep points 14 ila mwisho wa siku akazikata, Liverpool yenye wachezaji matured enough kuliko wetu, Liverpool yenye wachezaji bora kwa kipindi kile kuliko wetu, Liverpool yenye wachezaji wazoefu kuliko wetu
Ni kheri uwe unafukuza mwizi kimya kimya kuliko kuwa unafukuzwa kimya kimya na mtu mwenyewe anaekufukuza ni pep na istoshe wachezaji wa city wana uzoefu na mbio za ubingwa kuliko sie
Japokuwa kila mwana Arsenal anatamani kuona hatutoki pale juu ila ukweli ni kwamba sio rahisi hivo kama unavotaka kutuaminisha mkuu
Zinchenko “When I arrived I told the lads, we won’t think about the top 3 of whatever, we go for the title. Some of them started laughing but now they start to believe”Nadhani sote tunakumbuka mbio ambazo Pep na Klop walikuwa wanakimbizana na muda huo wote wana wachezaji matured enough
Klop aliwahi kumwacha pep points 14 ila mwisho wa siku akazikata, Liverpool yenye wachezaji matured enough kuliko wetu, Liverpool yenye wachezaji bora kwa kipindi kile kuliko wetu, Liverpool yenye wachezaji wazoefu kuliko wetu
Ni kheri uwe unafukuza mwizi kimya kimya kuliko kuwa unafukuzwa kimya kimya na mtu mwenyewe anaekufukuza ni pep na istoshe wachezaji wa city wana uzoefu na mbio za ubingwa kuliko sie
Japokuwa kila mwana Arsenal anatamani kuona hatutoki pale juu ila ukweli ni kwamba sio rahisi hivo kama unavotaka kutuaminisha mkuu
Assume city katupiga game zote mbiliAcha tu waniite mamluki ila me naongea ukweli, points 8 Kwa pep ni ndogo sana labda kama aendelee kusua sua kama mwanzo
Mfano game ya leo tungesuruhu zilikuwa zibaki point 3 na mchezo mmoja mkononi, tufanye huo mchezo tungeshinda zimekuwa points 6
Sasa unamzidi points 6 pep ambaye bado una game nae home and away, na wote tunajua ukweli ni kwamba city uwezo wa kutupiga anao, kwahiyo kama akishinda hizo game 2 ingekuwa tuna level points
Kama shabiki wa Arsenal nataka sana kubeba hii ndoo ila haitokuwa rahisi hivi kama ambavyo tunataka kujifariji, pep kama kocha mzoefu kuliko wetu na wachezaji wake Wazoefu kuliko wetu
Kuanzia game ya tote city ni kama vile wameamka Fulani hivi na ikitokea waka maintain consistency kuanzia hapa hadi mwisho sio ajabu wao wanaweza, swali je nasie tunaweza?
Tunaweza kucheza under pressure kila game bila kupoteza focus yetu? Tunaweza kumantain hii form hadi mwisho? Tunaweza kuendelea kuwa na focus ata kama ikitokea tukapoteza game kadhaa?
Ukweli ni kwamba haiwezi kuwa rahisi ila kwakuwa hatujafika hapa kwa bahati mbaya basi batuna budi kukomaa tu hadi game ya mwisho, ila ukweli utabaki kuwa sio rahisi kama ambavyo tunataka kuaminishana
Toka asajiliwe man u, leo anthony alitakata, atleast kaoneshaKwani Antony mliyemsajili kwa £100m hakucheza leo???
Assume city katupiga game zote mbili
Hivi unafikiria hapa njiani city hata toa sare au kufungwa kabisa?
Au tu nikuambie msimu huu city sio tishio kama misimu iliyopita
City anafunga pia anafungika
Ila kwa sasa arsenal akishinda ni habari
Ila arsenal akifungwa ni habari ya kusisimua
Kwanza umeziona game zetu 10 zijazo?
Arsenal NDOO
Ndio Mkuu, wameongeza kitu kikubwa sanaZinchenko “When I arrived I told the lads, we won’t think about the top 3 of whatever, we go for the title. Some of them started laughing but now they start to believe”
Zinny na GJ kuna kitu wameongeza kwenye dressing room
Game anayokutana tena na tott, pep hashindi tuko hapaAcha tu waniite mamluki ila me naongea ukweli, points 8 Kwa pep ni ndogo sana labda kama aendelee kusua sua kama mwanzo
Mfano game ya leo tungesuruhu zilikuwa zibaki point 3 na mchezo mmoja mkononi, tufanye huo mchezo tungeshinda zimekuwa points 6
Sasa unamzidi points 6 pep ambaye bado una game nae home and away, na wote tunajua ukweli ni kwamba city uwezo wa kutupiga anao, kwahiyo kama akishinda hizo game 2 ingekuwa tuna level points
Kama shabiki wa Arsenal nataka sana kubeba hii ndoo ila haitokuwa rahisi hivi kama ambavyo tunataka kujifariji, pep kama kocha mzoefu kuliko wetu na wachezaji wake Wazoefu kuliko wetu
Kuanzia game ya tote city ni kama vile wameamka Fulani hivi na ikitokea waka maintain consistency kuanzia hapa hadi mwisho sio ajabu wao wanaweza, swali je nasie tunaweza?
Tunaweza kucheza under pressure kila game bila kupoteza focus yetu? Tunaweza kumantain hii form hadi mwisho? Tunaweza kuendelea kuwa na focus ata kama ikitokea tukapoteza game kadhaa?
Ukweli ni kwamba haiwezi kuwa rahisi ila kwakuwa hatujafika hapa kwa bahati mbaya basi batuna budi kukomaa tu hadi game ya mwisho, ila ukweli utabaki kuwa sio rahisi kama ambavyo tunataka kuaminishana
Kama umeona game zetu 10 zijazoMbona wewe una assume kuwa hadi tunakutana na city tutakuwa tumemzid point 8-10 kwahiyo wewe una uhakika Arsenal itakuwa haijapoteza tu points?
Anyway, nimeona game zetu 10 zijazo mkuu na kama tukizicheza karata zetu vizuri basi hapo ndipo tutakapopatia ubingwa
Sio rahisi kiivyo, EPL is remaining as EPL until the last 90 minutes of the last game otherwise nothing is concluded by now.Kama umeona game zetu 10 zijazo
Case closed
[emoji110]
Dalili nzuri lakn mkuu, tuna Everton na Brentford mbele yetu, points 6 hizoSio rahisi kiivyo, EPL is remaining as EPL until the last 90 minutes of the last game otherwise nothing is concluded by now.
#COYG.
Haijalishi, kila mtu ashinde mechi zake, asuesue asisuesue, tukiendelea kushinda mechi zetu hatupatiAcha tu waniite mamluki ila me naongea ukweli, points 8 Kwa pep ni ndogo sana labda kama aendelee kusua sua kama mwanzo
Mfano game ya leo tungesuruhu zilikuwa zibaki point 3 na mchezo mmoja mkononi, tufanye huo mchezo tungeshinda zimekuwa points 6
Sasa unamzidi points 6 pep ambaye bado una game nae home and away, na wote tunajua ukweli ni kwamba city uwezo wa kutupiga anao, kwahiyo kama akishinda hizo game 2 ingekuwa tuna level points
Kama shabiki wa Arsenal nataka sana kubeba hii ndoo ila haitokuwa rahisi hivi kama ambavyo tunataka kujifariji, pep kama kocha mzoefu kuliko wetu na wachezaji wake Wazoefu kuliko wetu
Kuanzia game ya tote city ni kama vile wameamka Fulani hivi na ikitokea waka maintain consistency kuanzia hapa hadi mwisho sio ajabu wao wanaweza, swali je nasie tunaweza?
Tunaweza kucheza under pressure kila game bila kupoteza focus yetu? Tunaweza kumantain hii form hadi mwisho? Tunaweza kuendelea kuwa na focus ata kama ikitokea tukapotezaq game kadhaa?
Ukweli ni kwamba haiwezi kuwa rahisi ila kwakuwa hatujafika hapa kwa bahati mbaya basi batuna budi kukomaa tu hadi game ya mwisho, ila ukweli utabaki kuwa sio rahisi kama ambavyo tunataka kuaminishana
Shabiki wa Arsenal halafu unatabiritabiri mabaya kwa timu ni tabia ya KISHIRIKINA kabisa.Wenzio tayari wameshakaza mafuvu ya vichwa vyao, hawataki kabisa kusikia habari nyingine zaidi ya Arsenal kubeba ndoo na Haaland kiatu.
Sitashangaa wenzio kukuita mamluki/msaliti kwa huu ukweli uliowaambia.