[emoji23][emoji23][emoji23] usiwalaumu sana hao kina kitchen party, huo ndio uwezo wao wa mwisho wanapokutana na wanaume wa shoka.Leo Partey haeleweki, Martinelli ndo kabisaa.
Hawa jamaa sijui walilala wapi.
Boya huyo, yaan wamebanwa kumiliki mpira sana Kama walivyofanya kwa Spurs, saiv wameanza kuongea pumba.Unasema tumepaki basi mkuu angalia statics izo.View attachment 2491853
Hii sub ilikua ina tabirika, tunamsubir TrossadAnaingia Tomiyasu badala ya Ben White
Atakuwa anasikiliza mpira kwenye redio huyo.Mkuu timu iliopaki basi inakuaje na possession zaidi yako?
Hii shot yako ni ya dk ya 43 hata mpira haukua umefika half timeUnasema tumepaki basi mkuu angalia statics izo.View attachment 2491853
Usitusumbue bro nenda kaombe kazi ya ukochaSasa Werghost anafanya nini uwanjani?..
Hii sio game yake..weka Garnacho awachukue.