japo mimi naamini KDB SILVA NA FODEN wanaweza kuja kubadili matokeo pia wangeweza kubadili matokeo iwapo wangeanza .Msim huu msipochukua hii league itabidi mchapwe fimbo.
Man City wako predictable sana, sio City ya misim iliopita
Nilichokisema ndicho kinatokea, Spusr hawako kwenye form lakini wamewafanya city sasa kwa dk 45 zilziobaki wafukuze mpira wakitafuta comeback ambayo rare kutokea na wakijitahidi sana kurudisha ulimi utakuwa umewatoka kiroho mbaya. City ya msimu huu ni wabovu sijui hata hapo juu wamefikajeKwa msimu huu city ni wabovu compare miaka miwili ya nyuma, wachezaji wako axausted akiwemo Kelvin De Bruyne na wenzake. Hii haitaji hata kuielezea sana, matokeo na uchezaji wao unaonekana. Na mwanzoni pia nilitahadharisha dependecy walioweka kwa mfungaji mmoja ambaye ni Haaland utakuwa na madhara sana kwa City kwa sababu
timu imekufa. Ndicho kinachotokea taratibu sana
- asipokuwa kwenye form,
- akienda majeruhi au
- wenzake wakigoma kumpa ushirikiano,
City ataendela kupoteza mechi moja moja na au kutoa sare kitu ambacho itaendelea kuwapa ninyi Arsenal advantage.
Mimi nabashiri hata Man u au Newcastle wanaweza kumpiku city kwenye second position, hadi tufike March, City atakuwa kwenye 3 au 4. Take my word IMO
Form ya De Bruyne iko low msimu huu, usitegemee kitu hapojapo mimi naamini KDB SILVA NA FODEN wanaweza kuja kubadili matokeo pia wangeweza kubadili matokeo iwapo wangeanza .
Unaangalia mechi?Nilichokisema ndicho kinatokea, Spusr hawako kwenye form lakini wamewafanya city sasa kwa dk 45 zilziobaki wafukuze mpira wakitafuta comeback ambayo rare kutokea na wakijitahidi sana kurudisha ulimi utakuwa umewatoka kiroho mbaya. City ya msimu huu ni wabovu sijui hata hapo juu wamefikaje
City wakijitahidi hii game wamedrop points na wataendela hivi hadi msimu uishe, Mimi msimu huu siwanoni City kama ni Genuine title contender, Newcastle ni afadhali wako determined kupata matokeo sio hawa City.
- De Bruyne hayuko kwenye form
- Mabeki sio wazuri, unamtegemea Ake kweli
- Utegemezi mkubwa sana umewekwa kwa Haaland, akibanwa ndio zero. Na Spusr naona wamekamia kumbana Haaland kweli
Unachoongea ndio uhalisia ,sema wengi wetu tunaangalia mpira kimazoeaKwa msimu huu city ni wabovu compare miaka miwili ya nyuma, wachezaji wako axausted akiwemo Kelvin De Bruyne na wenzake. Hii haitaji hata kuielezea sana, matokeo na uchezaji wao unaonekana. Na mwanzoni pia nilitahadharisha dependecy walioweka kwa mfungaji mmoja ambaye ni Haaland utakuwa na madhara sana kwa City kwa sababu
timu imekufa. Ndicho kinachotokea taratibu sana
- asipokuwa kwenye form,
- akienda majeruhi au
- wenzake wakigoma kumpa ushirikiano,
City ataendela kupoteza mechi moja moja na au kutoa sare kitu ambacho itaendelea kuwapa ninyi Arsenal advantage.
Mimi nabashiri hata Man u au Newcastle wanaweza kumpiku city kwenye second position, hadi tufike March, City atakuwa kwenye 3 au 4. Take my word IMO
Vipi uko? Timu yenu imejichokea mkubali huu ukweli ili mu-move oneKusema City ni wabovu hayo ni mawazo mgando , hujamjua vizuri Pep hakika.
Ulichoongea ndio uhalisia ,Nilichokisema ndicho kinatokea, Spusr hawako kwenye form lakini wamewafanya city sasa kwa dk 45 zilziobaki wafukuze mpira wakitafuta comeback ambayo rare kutokea na wakijitahidi sana kurudisha ulimi utakuwa umewatoka kiroho mbaya. City ya msimu huu ni wabovu sijui hata hapo juu wamefikaje
City wakijitahidi hii game wamedrop points na wataendela hivi hadi msimu uishe, Mimi msimu huu siwanoni City kama ni Genuine title contender, Newcastle ni afadhali wako determined kupata matokeo sio hawa City.
- De Bruyne hayuko kwenye form
- Mabeki sio wazuri, unamtegemea Ake kweli
- Utegemezi mkubwa sana umewekwa kwa Haaland, akibanwa ndio zero. Na Spusr naona wamekamia kumbana Haaland kweli
ngojatuoneForm ya De Bruyne iko low msimu huu, usitegemee kitu hapo
Na wako humu hawaangalii kabisa wamezoea kukariri kuwa PEP mzuri, City ni wazuri bila hata kufuatilia wanavyocheza. Kwenye text streaming media wakiona City ana miliki 60% wanaona kuwa wanacheza vizuri. Tunasema tena Arsenal fursa yenu ya kubeba kombe ni msimu huu, mkiendelea hivi, hadi March kutakuwa na title contender mmoja tu.Unachoongea ndio uhalisia ,sema wengi wetu tunaangalia mpira kimazoea
Huu ukweli mashabiki wake hawautaki kuusikiaMsim huu msipochukua hii league itabidi mchapwe fimbo.
Man City wako predictable sana, sio City ya misim iliopita
ni 3 - 2 sasa mkuuDuh, nimechelewa dk 7 tu 2-2
Spurs back to deffault
4-2ni 3 - 2 sasa mkuu
Uyu city tunamalizana nae wenyeweTottenham are absolutely useless.
Arsenal mkitufunga nje ndani ,chukueni epl ,hatupo kwenye form lakin kuweni makin washika bundukiIloris muda wake wa kukaa golini umeisha
City hamuwezi kumfunga Arsenal kwa quality ya msimu huu labda Arsenal akumbwe na majeruhi ya wachezaji muhimu kama Partey, Xshaka nkArsenal mkitufunga nje ndani ,chukueni epl ,hatupo kwenye form lakin kuweni makin washika bunduki
Tulishawahi kimbizana na Liverpool point 1....
Ndio maana Conte anataka kuwakimbiaTottenham are absolutely useless.