THE SHADOW ONE
JF-Expert Member
- Mar 11, 2015
- 1,226
- 2,025
Ina maana mechi ya Utd atakuwa bench mkuu?Arsenal and Brighton are expected to reach an agreement soon today on Trossard . Personal terms have been agreed and other clubs have been informed of Trossard decision
(@FabrizioRomano)
Mm namfahamu kwa machache sana na sjamfatilia sanaHuyu aliyesajiliwa ni mchezaji mzuri au liability tu? Ndio nimemsikia leo.
Wakubwa ina maana hamcheki mechi za timu nyingine? Uyu mbona EPL inamfahamu vizuri tu ni mchezaji wa profile ipiHuyu aliyesajiliwa ni mchezaji mzuri au liability tu? Ndio nimemsikia leo.
Ni mzuri na kashaprove epl anaweza akawa mzuri kuliko MudrykKwa wanaomjua vzuri vp ni usajili sahihi kwetu kipindi hichi
YUpo profile gani?Wakubwa ina maana hamcheki mechi za timu nyingine? Uyu mbona EPL inamfahamu vizuri tu ni mchezaji wa profile ipi
Humjui Trossard? Huangaliagi mechi za epl za timu nyingineHuyu aliyesajiliwa ni mchezaji mzuri au liability tu? Ndio nimemsikia leo.
Ni kweli hautanii?Huyu aliyesajiliwa ni mchezaji mzuri au liability tu? Ndio nimemsikia leo.
Walicheza pamoja na Samatta Genk ile iliyobeba ubingwa then kila mmoja akasepaHuyu aliyesajiliwa ni mchezaji mzuri au liability tu? Ndio nimemsikia leo.
Ambagile anamfahamuMm namfahamu kwa machache sana na sjamfatilia sana
Deal la madueke tushamaliza.Sahihi hampigwi hapo , kwa umri na uwezo wake ,