Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,720
Caicedo namkubali sana ,fundi haswaHuyu tunawaachia, saizi project yetu ni chini ya miaka 25 tho wapo watakaonunuliwa ambao watakuwa above.
For now tuko busy na usajil wa Noni Madueke + Caicedo
Huyu hana la kuprove kitu uwanjani ,he is the BESTUnamzungunziaje kama akitua huyu jamaa
Maana Chelsea hawakawii kutuvurugia
Huyu mussa diaby ni mtu sanaKwasasa sokoni option ni zipi ,maana mudrky tumemkosa
Mousa diaby wamesema wanataka €100m
Raphina wamesema €100m pia anataka kubaki
Mitoma huwez kumtoa pale bila €90m+
Caicedo mtakuwa mmepata mtu.Huyu tunawaachia, saizi project yetu ni chini ya miaka 25 tho wapo watakaonunuliwa ambao watakuwa above.
For now tuko busy na usajil wa Noni Madueke + Caicedo
Ana kibri atawezana na Arteta?Chelsea chonde chonde ,safari hii tunawatoa kishipa
Leandro Trossard is the only player outside the Big six club who has scored Manchester City, Arsenal, Manchester United, Tottenham, Chelsea and Liverpool. Yeah He’s the only player to do that.
Arteta kamuweza Xhaka ambae wote tulishakubali kuwa kashindikana, lakini muone sasa.Ana kibri atawezana na Arteta?
Kama umemkubali huyu basi atakuwa bonge la player maana always Huwa unapinga sana sajiri za average playersHuyu hana la kuprove kitu uwanjani ,he is the BEST
Anachosahau hata Sisi alitufunga bila Partey na Elneny walikuwa injury ,Ninyi wachawi msimu huu kweli kweli
Mliomba droo PAlace vs Manure na mmepata
Mmeomba Casemiro awe blocked na maombi yenu yamekubaliwa
Sasa mshindwe tu wenyewe kulipiza kisasi kwa hao Manure United
Ila ten hag anawakumbusha kuwa waliwafunga 3-1 bila Casemiro
Arsenal vs Man Utd: Erik ten Hag reminds Gunners that his side beat them without Casemiro
Jamie Redknapp believes a title charge is out of reach for Man Utd this season; theyre eight points behind the Gunners and sit in third level on points with Man City; watch Arsenal vs Man Utd live on Sky Sports Premier League this Sunday; kick-off 4.30pmwww.skysports.com
Caicedo ile CM hatari sana, kuna Enzo Fernandez ,,wote Liverpool anawatolea macho tu ,Tajiri miluzi kawaweka pendingCaicedo mtakuwa mmepata mtu.
BHA wanataka watupige pesa maana wanataka si chini €75MCaicedo namkubali sana ,fundi haswa
Hakika ni mchezaji anachafua pande zote hata kiungo mshambuliaji ana speed na pace ila bei wanatak kutupiga kama ni keki wakae nae tujaribu majira ya joto watakuwa wameshusha hata £20+Huyu mussa diaby ni mtu sana
Sahihi hampigwi hapo , kwa umri na uwezo wake ,BHA wanataka watupige pesa maana wanataka si chini €75M
Kuna kumkamata mpinzani zaidi ya Ushindi?Anachosahau hata Sisi alitufunga bila Partey na Elneny walikuwa injury ,
Cha ajabu mechi nzima hakuweza kuikamata
Arsenal and Brighton are expected to reach an agreement soon today on Trossard . Personal terms have been agreed and other clubs have been informed of Trossard decision
(@FabrizioRomano)