Trossard ana miaka 28Namba zake pale Brighton zinambeba
Tatizo labda umri ,kwa project yetu ilikuwa hawanunui zaidi ya 25yrs
Huyu ana 28yrs
Mitoma ana umri mdogo, tatizo kumtoa pale january hii NGUMU ...
Ila namba zake brighton zinatisha , anacheza pia False 9, hivo tutakuwa tumepata backup 2 kwa wakati mmoja
Wanaukataa kwa hoja zipi?Kuna watu watataka kuukataa huu usajili wa Trossard lakini tukiwapa muda watarudi kule kule.
Kwasasa sokoni option ni zipi ,maana mudrky tumemkosaTrossard ana miaka 28
Hutakuja kumuuza kwa pesa kubwa huko baadaye.
Hatoimprove zaidi ya tunavyomuona pale.
Hizi ni transfers ambazo hua zinafanywa na Chelsea na United.
Tukiwa na project endelevu tunataka kuifanya na sisi.
Kuna sehemu tunateleza.
Kafikisha 28 last month mzee28/29 years ,,,,,
Ni mchezaji mzuri Sana mkimpata, namuona Kama hazard flan unyumbulikaji wake ,,,,
Tatizo moja tu, ana ukirusi flani ambao anaweza kuharibu dressing room, ana tabia za ki-pogba/rabiot n.k! Pengine MA ajitahidi kum_shape!
Kama fee ni hii inavumilikaFee for Trossard will be in region of 20m pounds
(@SamiMokbel81_DM)
Amebakiza miezi 6 kwenye mkataba wake, huyu angekuwa na miaka hata miwili ,asingeuzwa chini ya €50mKama fee ni hii inavumilika
Sijui kama yupo Sokoni huyu dogo ila anaitwa Jota. He is so good, yupo Celtics nafikiri.Kwasasa sokoni option ni zipi ,maana mudrky tumemkosa
Mousa diaby wamesema wanataka €100m
Raphina wamesema €100m pia anataka kubaki
Mitoma huwez kumtoa pale bila €90m+
Depth is necessary kwenye hii title race, impact atayoutupa huyu itatufaa sana in the short run, uzuri anajua kufunga na kucombine kwenye final 3rd, lakini sio 1v1 merchant km Saka / Gabby, naamini we will upgrade on him in the nxt windowsTrossard ana miaka 28
Hutakuja kumuuza kwa pesa kubwa huko baadaye.
Hatoimprove zaidi ya tunavyomuona pale.
Hizi ni transfers ambazo hua zinafanywa na Chelsea na United.
Tukiwa na project endelevu tunataka kuifanya na sisi.
Kuna sehemu tunateleza.
Nakubaliana na weweDepth is necessary kwenye hii title race, impact atayoutupa huyu itatufaa sana in the short run, uzuri anajua kufunga na kucombine kwenye final 3rd, lakini sio 1v1 merchant km Saka / Gabby, naamini we will upgrade on him in the nxt windows
Very very good newsBeen told #Arsenal wants to get Leandro Trossard in as soon as possible to be in the squad for Sunday. #AFC
Unamzungunziaje kama akitua huyu jamaaVery very good news
Huyu tunawaachia, saizi project yetu ni chini ya miaka 25 tho wapo watakaonunuliwa ambao watakuwa above.Unamzungunziaje kama akitua huyu jamaa
Maana Chelsea hawakawii kutuvurugia