Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,720
Ulimuonaje ?Halafu huyu mwamba kuna siku nilikuwa nacheki game, nikataka niwaulize huyu diaby vipi au nyota hana?
Hawa watu wengine wasiojua chochote kinachoendelea ulimwenguni ni kuwablockNyie kubalini kawatosa, acheni mambo meeengi, mlijiaminisha wenyewe kw wenyewe humu kua eti mchezaji anaipenda Arse888 tangu lini mchezaji akaipenda timu isiokua na mafanikio.
Huyo mudryk kw uspesho gani aliokua nao mpk nchi ihusike. eti wapewe donation kisa mudryk!! Amekua messi. Muachage kudanganyana nyie misukule ya Arteta.
Ndio hivyo hivyo mlidanganyana humu mudryk anaipenda Arse888.
mie toka tunahusishwa na rafinha kwenye dirisha kubwa, chaguo na pendekezo langu diaby ndo alikua favor kwangu kuliko Rafinha. Ni basi tu haikuaHalafu huyu mwamba kuna siku nilikuwa nacheki game, nikataka niwaulize huyu diaby vipi au nyota hana?
Hivi walimchukua kwa £60M sio? Na hana goli EPL tangu msimu uanzeJana game dhidi ya Tottenham, martineli alienda kupiga kona, akamkuta richarlison, akamp hi(ni 5) kama sikosei,
Jamaa hakupokea alimtizama kama hamjui vile..
Richarlison kafanya tendo la kishamba mnoo
Ukiangalia body language yake utaona ameenda Chelsea ilimradi tuUsukute hats mudryk mwenyewe Hana furaha, maana simuoni akipost chochote kuhusu kwenda Chelsea
Uyu akiwa chini ya Arteta itakua habari nyingine ulaya, kuna watu hawataleta timu uwanjani
Mshamba tu yuleAliumuka yule
Sikuiona hiyo..GM6 kuna muda walikua wanatukanana pia na Richarlison,
Aaah nacheka kwa dharau, Arsenal wafanye kweli, nipo tayari tusisajili this window ili tumpate Rice & Leao nxt summer.DECLAN RICE NDIYE MRITHI WA PARTEY , ILA HADI SUMMER ,MAZUNGUMZO YAMESHAANZA ,
Midfielder is considered less of a priority in this January transfer window for Arsenal, but they are planning a summer move for Declan Rice. [Athletic]
Toka yupo everton mie hajawahi nivutia, aina ya soka lake halinivutii, namuona ni kama mchezaji wa timu za mpira wa midtable zaidi.Hivi walimchukua kwa £60M sio? Na hana goli EPL tangu msimu uanze
Another Underrated flop
Itabidi nianze kutizama game za westham kwwa ukaribu nimtizame rice, mara nyingi namchukulia poa poa tu.
Kusajili this window ni muhimu sana tena wachezaj wawili tu au mmja anatosha, dirisha lijalo hatutatumia nguvu nyingi kushawish wachezaj waje kwetu coz project ishajiuza now, ni pesa tu na BangAaah nacheka kwa dharau, Arsenal wafanye kweli, nipo tayari tusisajili this window ili tumpate Rice & Leao nxt summer.
Hana goli hata 1 EPLHivi walimchukua kwa £60M sio? Na hana goli EPL tangu msimu uanze
Another Underrated flop
Naamini tukifuzu UEFA tutakuwa na pesa , nilisikia anasema anaielewa project yetu, ngoja tuone ila I wish dogo amrithi Thomas Partey.
Rice next season ,Aaah nacheka kwa dharau, Arsenal wafanye kweli, nipo tayari tusisajili this window ili tumpate Rice & Leao nxt summer.
Unamkubali sana huyu jamaaNaamini tukifuzu UEFA tutakuwa na pesa , nilisikia anasema anaielewa project yetu, ngoja tuone ila I wish dogo amrithi Thomas Partey.View attachment 2483998
Uyu muhuni ana hasira sana