Piers hapa alitakiwa atulie. Ndiyo ni shabiki ila ni toxic sana. Timu inaelekea kucheza derby ngumu, imepoteza game moja tu na kutoka sare mara mbili tu unaanza kuletea maneno yanayodestabilize timu na kuvuruga mashabiki. Huu ni wakati wakuleta maneno ya kumpa support Edu na Arteta kama '100 is crazy money anyway' au 'trust the process' na maneno kama hayo ya kurally mashabiki waongeze kuwapa motisha team yao na management. Sasa mtu unaanza na 'blame Edu' sijui 'faff around' Kwa watu walio onyesha kabisa wanavunja record yao usajili. Dili limevamiwa kihuni ila ndiyo kawaida ya hii game.Piers Morgan anasema «If Arsenal want to win the League this season, we can’t faff around for weeks on key targets and then get outflanked/outbid at the last minute. Looks weak.
"We must buy another top class striker asap."
Earlier, Piers had also tweeted: "How can this be happening? Ridiculous that Arsenal let this transfer saga drag on so long we’ve apparently ended up losing him."
The TV personality was far from the only Gunners fan who was left fuming by yesterday's developments.
"Can’t blame the player, blame Edu for not getting this done ages ago."
Another said: "Edu just got his pants pulled down and got taught a lesson on what happens when you take the p*** with transfers lol nothing more to add
Reports za mwisho si zilisema tunaenda kumalizana na shaktar tena Kwa bei ya chini kuliko waliyotaka na mchezaji alikuwa amekubali kuja Kwa mshahara wa kawaida tu? Hapo inaonekana kabisa jamaa kapiga kazi yake ipasavyo tu. 11th hour kaja mshindani na donge nono ambalo tusingeweza kumatch hasta Kwa upande wa mshahara na tukanyang'anywa tonge mdomoni. Hakuna namna zaidi ya kukubali matokeo na kusonga mbele siyo kuletea lawama.Uzembe ni wa Edu na sio Fabrizio management ikubali imeteleza tuangalie what next siku zinaenda za deadline huku tuna two big competitions (EPL and Europa league)ambazo zote this season tunazitaka huku tukiwa na strong 11 starting squad na weak bench kwa kipindi hiki ikifika March muda wa kukimbizana kumaliza EPL na Knock out ya Europa ndio tutakuja kuona umuhimu tena wa usajili kama last season tulivyoikosa top 4
Piers hapa alitakiwa atulie. Ndiyo ni shabiki ila ni toxic sana. Timu inaelekea kucheza derby ngumu, imepoteza game moja tu na kutoka sare mara mbili tu unaanza kuletea maneno yanayodestabilize timu na kuvuruga mashabiki. Huu ni wakati wakuleta maneno ya kumpa support Edu na Arteta kama '100 is crazy money anyway' au 'trust the process' na maneno kama hayo ya kurally mashabiki waongeze kuwapa motisha team yao na management. Sasa mtu unaanza na 'blame Edu' sijui 'faff around' Kwa watu walio onyesha kabisa wanavunja record yao usajili. Dili limevamiwa kihuni ila ndiyo kawaida ya hii game.
Hapo Sasa Arteta anajikuta na mzigo wa kumyamazisha Kwa kushinda uwanjani. Team ishindane na wapinzani na fans wake yenyewe wenye hasira tena kama zamani, hii ni kurudishana nyuma.
Walitakiwa waongeze hii Kwa chini:Was Man United first goal supposed to stand?
Offside Rule -Ball interference;
The Laws of the Game say that a player can be in offside position when “interfering with an opponent by preventing an opponent from playing or being able to play the ball by
1. clearly obstructing the opponent’s line of vision or
2. challenging an opponent for the ball or (The first point of contact of the ‘play’ or ‘touch’ of the ball should be used) or
3. clearly attempting to play a ball which is close when this action impacts on an opponent or
4. making an obvious action which clearly impacts on the ability of an opponent to play the ball
Walitakiwa waongeze hii Kwa chini:
N.B:
1. All the above do not apply to Manchester United (and in some cases, Liverpool, Manchester City, Tottenham and Chelsea).
2. All the above do not apply to any team that scores in such circumstances against Arsenal.
Director mpaka ameenda Poland kukamilisha dili akijua tukeshakubaliana kabisa? Kwa cases zingine sawa ila siyo Kwa case hii broI support Piers, often times Arsenal are victim of procrastination in negotiations and players’ acquisitions
Mademu wetu nawakubali ila wa Chelsea nao si haba huwa wanatusumbua. Nadhani mara ya mwisho walitupiga. Na hivi tena tumemwachia Nobbs aondoke...Mechi ya mademu wetu na Chelsea ipo live Variety 3
Maneno yamesemwa mengi.Was Man United first goal supposed to stand?
Offside Rule -Ball interference;
The Laws of the Game say that a player can be in offside position when “interfering with an opponent by preventing an opponent from playing or being able to play the ball by
1. clearly obstructing the opponent’s line of vision or
2. challenging an opponent for the ball or (The first point of contact of the ‘play’ or ‘touch’ of the ball should be used) or
3. clearly attempting to play a ball which is close when this action impacts on an opponent or
4. making an obvious action which clearly impacts on the ability of an opponent to play the ball
Maneno yamesemwa mengi.
Rashford yuko mbele ya Akanji yaani akitolewa Rashford wa kwanza kuufikia mpira ni Akanji. Kama Akanji angekua mzito kuufikia basi Walker angegombea mpira na Bruno ila wamesema kwamba siku hizi imebadilika zamani ilikua 'Interference' siku hizi ni 'intereference by' which doesn't make sense considering Rashford alikua anaukimbiza mpira.
Utetezi mwingine wamesema kwamba kanuni zinasema 'Play to the whistle' na kwakua haikupigwa filimbi Akanji na Walker ilibidi wafanye clearance ambayo isingewezekana kwakua Rashford alikua anazuia mpira.
Mademu wetu nawakubali ila wa Chelsea nao si haba huwa wanatusumbua. Nadhani mara ya mwisho walitupiga. Na hivi tena tumemwachia Nobbs aondoke...
Tunaamini kauli za mchezaji, ndoto zangu, malengo yangu ni kucheza arsenal, wachezaji ni kama mwanamke.. Loyal wachache, wengi ni vizabizabina.. 😂I support Piers, often times Arsenal are victim of procrastination in negotiations and players’ acquisitions
Tena Zinchenko asimruhusu mkewe akamfanyie tena interview huyu jamaa. Inawezekana kabisa akawa na vitabia vingine vya kizaramoTunaamini kauli za mchezaji, ndoto zangu, malengo yangu ni kucheza arsenal, wachezaji ni kama mwanamke.. Loyal wachache, wengi ni vizabizabina.. 😂
😂 Ndio ndugu yangu, mie chama langu simbaHahaha kumbe bro uko Simba?
Njoo Yanga kwa wastaarabu mkuu achana na hao wahuni wa msimbazi.😂 Ndio ndugu yangu, mie chama langu simba
Game imeisha 2-2 😤🤔