Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,720
Newcastle lazima akubali leo kukaa nyumaNewcastle wanapress 433 narrow block km liverpool ila FBs wao hawaendi kusaidia press wanabaki chini, wings zao zinapress CBs maanake FBs wetu wanabaki free na ndio maana naona Zinny ni vizuri aanze na naamini Eddie howe asipochange approach yake tukiwa na mpira Zinny atacheza sn kwenye midfield kuoverload, sasa Zinny ukimpa time on ball what next?? Newcastle kitachowabail out leo ni physicality yao na Kutegemea Transition km game yetu dhidi ya Man u.
Tafuta app ya chief mkwawa iko freshWadau nipo pori link yenye unafuu wa bando
Mkuu Aaron Arsenal wewe ni muoga sana mechi zikianza unaogopaga mpaka kuingia kwenye thread yenu hii.
Hapa tutakuona mpira ukiisha kuja na uchambuzi wako maandazi mkifungwa ndo tuta kusaau hapa kama wiki 2 hivi.
Kiufupi wewe ni shabiki kama arsenal ikiwa inafanya vizuri ndo uingia kuchangia hapa.
Anyway karibu sana pale OT Manchester united inacheza leo na arsenal fans wote mna furaha
tabia za KICHOKO ndio hizi,sasa emoji za kuchekacheka za nini??non senseArsenyeto
Hizi kima za Arteta mpira umewashinda sasa hivi zimeamua kutembeza kiatu tu, kipindi cha pili wasipochezea umeme basi mechi inayofata kwa hizi njano wanazokula lazima watapigwa shoti.Arsenyeto
Kwa mbali naona majira ya roho ya kumtoa nje ya top 4 ikiwadia kwa huyu kiumbe mwenye kimdomo kirefu.Hizi kima za Arteta mpira umewashinda sasa hivi zimeamua kutembeza kiatu tu, kipindi cha pili wasipochezea umeme basi mechi inayofata kwa hizi njano wanazokula lazima watapigwa shoti.