Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Acha uzushi Flano ,hao Wana miaka 20+ sijui Kama wamewahi kushinda Emirates

Katika mechi 20

Arsenal WIN 18
Kama ni uzushi basi mzushi atakua huyo Arsenyani mwenzako THE SHADOW ONE mimi nime quote alichokiandika.

Leo kima za Aterta lazima zitapike damu uwanjani.

Arsenyani akisikia timu yoyote jina lake linaishia na United hua anapata kiwewe na kuanza kutetemeka.

# Hatucheki na kima
 
Yaan Arse888 ina mashabiki wenye uelewa mduchu sana. Ukiwasikia wanavyojadili hapa ni kwamba hawatokaa wafungwe milele na timu yoyote ya dunia hii, Arteta ndio kocha dunia hii hakuna. Eti Pep alikua anamtegemea Arteta pale City hahaha.....

Hazijui hizi ng'ombe hata big 4 ni hati hati.
 
Hizi kima ni za kuzizoea tu, mimi mwenyewe mwanzo zilikua zinanishangaza sana ila baada ya Jf kutoa ile takwimu ya hospitali ya Dodoma ndio nikagundua kua ninadeal na watu wa aina gani kwenye hili jukwaa.
 
Kutwa nzima unajipitisha walipo kaa wanaume na kanga moko, tutakusukumia guu la ng'ombe ukaugulie nyumbani
 
Mudi na Pepe
View attachment 2467944View attachment 2467945
 
Huchoki tu kuingia humu, timu lako linazidi kuzama

Kuna uwezekano likamaliza nafasi ya 15
 
Gabriel Jesus, Bukayo Saka na William Saliba each have 4 yellow cards. Today's game against Newcastle is the 19th fixture mark.

We have Tottenham Hotspurs, and Manchester United next — If Saka and Saliba get booked today they'll miss the Spurs game. if they'll make it card-free after 90 mins then they'll be hoarded and start over in the round 2 fixtures — the first against Tottenham.

Saliba and Saka should avoid cards today.
 
Nimerekebisha mkuu😂😂
 
Another thing Saliba is not good on quick long balls from opponents! He couldn't make offside against Manchester United by staying in a highline, the same as a reckless tackle versus Westham United and the same long ball from Brighton!

I've watched the Magpies playing style they use long balls when pressed to the centre and they switch plays too often to the wings (Almiron and Saint-Maxim).

Saliba must concentrate more on playing balls that trap players into an offside position.
 
Hata wakipata mechi inayofuata ni ya FA
 
Newcastle United are good physically and they use that as a style of play especially without a ball and energy with a ball.

Magpies are not fluid in the style of play like Arsenal, Manchester City and Brighton but they are reactive with the game when it comes to defence or attack they stay six or go six.

Arsenal must win the possession as much as we can, and score early goals as many as we can.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…