Huyu kama atakuja kupata namba basi ndio ataamua Hatma ya ubingwa kwa Arsenal kutokana na mchango wake wa magoli| Smith Rowe training with #Arsenal squad at London Colney today #afcView attachment 2466982
Flano ππNyie kima msijisahaulishe na kipigo cha Liverpunda jana.
Leo mnacheza na Epl contender 2022/2023 Newcastle United, mjiandae kabisa kuchezea dhakari za kina Bruno Guimaraes, Joelinton, Joe Willock, Allan Saint-Maximin, Miguel Almiron, Callum Willson bila kumsahau macho mlegezo Alexander Isak. View attachment 2467615View attachment 2467616View attachment 2467617View attachment 2467618
Mumpige Nyukesto Kwa kumtegemea stweka wenu Mkatamiwa (Nketiah)?Flano
Newcastle atapigwa kama ngoma anaenda Emirates kupaki bus na kusubiri counter attack hii mechi inapewa uzito na mashabiki wa Utd. Mechi niliyoona ngumu kwa Arsenal msimu huu ilikuwa ni ya Leeds Utd na mechi Brighton Holves & Albion.
Ila Newcastle si timu inayocheza kimbinu sana. Mwisho wa siku mpira dkk 90 mkuu lolote linaweza kutokea.
Flano πππ sasa hao Newcastle hawana upepo wa kucheza na Arsenal dkk zote 90 wawe wanazuia tu. Almiron kwa pressing tutakayofanya mipira itakuwa haimfikii tukianza na Zinny tunakuwa 2-4-4, Tierney akianza tunakuwa 3-2-2-3. Newcastle wana timu nzuri ila Eddie Howie anaelewa balaa lake Emirates game ya mwisho wanashinda 2-0 Arsenal ilikuwa unga.Mumpige Nyukesto Kwa kumtegemea stweka wenu Mkatamiwa (Nketiah)?
Halafu nyuma beki ni Cheupe, Salima, Magalasa na huyo Vicheko sio?
Hivi unamjua vizuri Elmiron kweli wewe? View attachment 2467628
"Emirates game ya mwisho wanashinda 2-0 Arsenal ilikuwa unga."Flanosasa hao Newcastle hawana upepo wa kucheza na Arsenal dkk zote 90 wawe wanazuia tu. Almiron kwa pressing tutakayofanya mipira itakuwa haimfikii tukianza na Zinny tunakuwa 2-4-4, Tierney akianza tunakuwa 3-2-2-3. Newcastle wana timu nzuri ila Eddie Howie anaelewa balaa lake Emirates game ya mwisho wanashinda 2-0 Arsenal ilikuwa unga.
Mechi za nyumban huwa Ni hivo, uwe unajua uwe hujui ,utachezewa hivo 2-4-4 au 2-3-5
Acha uzushi Flano ,hao Wana miaka 20+ sijui Kama wamewahi kushinda Emirates"Emirates game ya mwisho wanashinda 2-0 Arsenal ilikuwa unga."
hapohapo ndio nilikua napataka na uzuri wake mwenyewe umejiwahi.
Haina haja ya kuongea sana, saa nne sio mbali.
Newcastle 3 - 1 Arsenyani
Nimekaa paleee
#Hatucheki na Kima
Ila akili na usiri kwenye usajili uongezeke maana chelsea wanawinda saana target zetuArsenal could look at signing a midfielder after completing Mudryk deal
(@FabrizioRomano)
Leo LB naona anaweza akaanza Tierney au technically Tomiyasu kwa ajili ya dogo Almiron.
Flano"Emirates game ya mwisho wanashinda 2-0 Arsenal ilikuwa unga."
hapohapo ndio nilikua napataka na uzuri wake mwenyewe umejiwahi.
Haina haja ya kuongea sana, saa nne sio mbali.
Newcastle 3 - 1 Arsenyani
Nimekaa paleee
#Hatucheki na Kima
hamis77Mechi za nyumban huwa Ni hivo, uwe unajua uwe hujui ,utachezewa hivo 2-4-4 au 2-3-5