kwa niaba yako ngoja na mimi nimuombee tu dua dogo usajili wake ufanikiwe, maana dogo Mudy anateseka na Arsenyani na Aaron Arsenal nae anateseka na dogo Mudy.
Kwao huko Putin anawanyunyuzia tu mioto kutoka mawinguni, lazima awe chawa kwelikweli ili afanikiwe kuondoka kwenye uwanja wa vita, la sivyo yule comedian anaweza kuamrisha wachezaji wote waende frontline kwenye mapambano.
Mwa-City inashabikiwa na vitoto vilivyozaliwa miaka ya 2000 hadi hivi sasa na havina tofauti na mashabiki wa Azam FC, na ukimkuta Mtu mzima mwenye akili timamu kabisa anashabikia Mwa-City basi ujue kabisa sababu kuu ni;
* Mkeka.
* Mapenzi ya Kocha Pep Kipara au aina ya wachezaji waliopo Mwa-City lakini si kama sisi wakongwe wa vilabu vya Arsenal, Man Utd, Liverpool, Chelsea, New Castle, Tottenham Hotspur, Real Madrid na Barcelona.
Arsenal haina shabiki kilaza kama wewe, punguza mahaba na uchawa sababu ya mkeka, ili usijewapatia mikosi Arsenal na wakakosa kabisa ubingwa wa EPL 2022/2023.