Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Brighton tuna jambo letu leo arsenyeto mkipata hata droo nipo pale [emoji91]
Trossard hat trick [emoji91][emoji91][emoji91]
Shaka red card [emoji95]
 
Namuangalia mudrky hapa ,ana Kasi Sana , anajua kufunga ,sioni aki struggle ,

Naomba dili lake likamilike kabla mech na Newcastle ,ili mech na man u Emirates aikute ,
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] naona sasa hivi utatulia baada ya akili kuanza kukaa sawa, huyu Mudi alikua anakutia presha sana.
Arsenyani nyie wachezaji wenu ni wale wa mafungu au wale waliokataliwa na timu kubwa (Martinell) au mnaopewa kwa hisani kama kina Jizaz na Zichenko.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Jukwaa la moto sana hili.
Tukutane may kwenye kupambana kuwanania kuingia top4.
Kwa sasa hizi zombi za arteta hazitakuelewa, ndio mana huwa nazikumbusha kumbusha kila mara.
 
Namuangalia mudrky hapa ,ana Kasi Sana , anajua kufunga ,sioni aki struggle ,

Naomba dili lake likamilike kabla mech na Newcastle ,ili mech na man u Emirates aikute ,
Mkuu naona unaiogopa manyuuu kweli katika comment zako 5 lazima utaje mchezaji wa manyuu au manyuu yenyewe relax mkuu nyie hata mshushe mbape sisi kuwapapasa ni pale pale.
 
Badala upiganie timu yako ,upo bize humu[emoji1787][emoji1787]
 
Every day the Shakhtar director watches Antony play, he increases the price of Mudryk by €20M because he's like "how on earth did they pay €100M for this?"
Ila huyu jamaa nae anatakiwa aelewe kuwa kuna kununua na kuna kupigwa. Sio kila team inataka kupigwa kama manjesta kuna zingine zilishatoka huko zimefika level za kununua kwa sasa.
 
Majeruhi huyo
 
Badala upiganie timu yako ,upo bize humu[emoji1787][emoji1787]
Sasa timu yangu inacheza na Mimbweha, kabla hata mpira haujaanza tayari mshindi ashajulikana.
Najipiganiaje sasa wakati inajulikana wazi Rashford mmoja ni sawa na kina Nketiah 1000 na Nyunyez watatu.
 
Sasa timu yangu inacheza na Mimbweha, kabla hata mpira haujaanza tayari mshindi ashajulikana.
Najipiganiaje sasa wakati inajulikana wazi Rashford mmoja ni sawa na kina Nketiah 1000 na Nyunyez watatu.
Baada ya ushindi wa papatupapatu na kushikilia bomba ,ndio unakuja kujibu[emoji1787][emoji1787]

Mna timu mbovu Sana
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…