Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,720
"Nafikiri Mudryk anaweza kushinda Ballon d'Or Ninajua thamani ya Mudryk"De Zerbi kuhusu mchezaji wake wa zamani Mudryk:
"Mudryk ni mchezaji mzuri lakini Brighton hawawezi kumnunua. Ninampenda kwa sababu wachezaji wangu wote wa zamani nawapenda lakini mimi ni kocha wa Brighton. Nafikiri Mudryk anaweza kushinda Ballon d'Or Ninajua thamani ya Mudryk
"Nafikiri Mudryk anaweza kushinda Ballon d'Or Ninajua thamani ya Mudryk"
De Zerbi muhuni sanaaaa, hapa anatumia akili mingi kuwaambia Shakhtar bei ya Mudi wakamatie hapohapo au ikiwezekana waongeze tena bei maana mchezaji wao ana kiwango kikubwa mno cha kumuwezesha kutwaa Ballon d'Or.
Nasikia Chelsea wameingilia dili mkuuDah flano hawa jamaa wanakaza,ila wataachia
Hawapo serious,maana tayari mchezaji moyo wake upo ArsenalNasikia Chelsea wameingilia dili mkuu
Safi sana....Emile Smith-Rowe is back in full training.View attachment 2464128
Arsenal hawatoi hiyo pesa, labda tuwape kwa mafungu kutokana na maendeleo ya mchezaji....Tulitoa ofa ya £50m kwa Raphinha ikakataliwa, tukaenda na kiasi hicho hicho kwa Pedro Neto, Wolves wakaikataa Shakhtar wanafikiri tutatoa £80m kwa mchezaji wa ligi ya Ukraine? Haha, wanajidhani wanafanya biashara na man u au Chelsea, ndio maana kwenye negotiation wanamtaja Anthony wa man u
Sipingi usajili wa Mudryk, ni mchezaji mzuri na uwezo anao na utakuwa usajili mzuri kama tukimpata kwa thamani aliyonayo.
Sio pesa zangu sawa, lakini kwa nini tulipe pesa ya Superstar kwa mchezaji ambae bado atahitaji karibia misimu miwili ili akamilike kama tunavyo mtaka?
Mudryk ni mchezaji mzuri ila ni mchezaji wa 'project' na akija Arsenal haanzi mbele ya Martinelli kwa hiyo sidhani kama tutalipa hiyo £80m.
Mudrky atahitaji Kuna vitu awekwe sawa
Martinell,saka ,smith,Partey , Øde ,wote wamekuja Arsenal, au walikuwepo Arsenal kabla ya Arteta , walikuwa wachezaji wakawaida Sana, Kama Partey alifikia hatua akasema kwa anavyocheza anajipa 4/10
Martinel ,saka, Øde,smith walikuwa na potential ila sio Kama walivyo Sasa
Jesus kaja Arsenal kaingia moja kwa moja kwenye kikosi, tumelipa £45m, Hivyo hivyo kwa Zinchenko tumelipa £35m ntashangaa kama tutalipa £80m kwa mchezaji wa ligi ya Ukraine,
labda sio Arsenal ninayo ijua.
arsenal watafte Alternatives, hawa majamaa hawana akiliTulitoa ofa ya £50m kwa Raphinha ikakataliwa, tukaenda na kiasi hicho hicho kwa Pedro Neto, Wolves wakaikataa Shakhtar wanafikiri tutatoa £80m kwa mchezaji wa ligi ya Ukraine? Haha, wanajidhani wanafanya biashara na man u au Chelsea, ndio maana kwenye negotiation wanamtaja Anthony wa man u
Sipingi usajili wa Mudryk, ni mchezaji mzuri na uwezo anao na utakuwa usajili mzuri kama tukimpata kwa thamani aliyonayo.
Sio pesa zangu sawa, lakini kwa nini tulipe pesa ya Superstar kwa mchezaji ambae bado atahitaji karibia misimu miwili ili akamilike kama tunavyo mtaka?
Mudryk ni mchezaji mzuri ila ni mchezaji wa 'project' na akija Arsenal haanzi mbele ya Martinelli kwa hiyo sidhani kama tutalipa hiyo £80m.
Mudrky atahitaji Kuna vitu awekwe sawa
Martinell,saka ,smith,Partey , Øde ,wote wamekuja Arsenal, au walikuwepo Arsenal kabla ya Arteta , walikuwa wachezaji wakawaida Sana, Kama Partey alifikia hatua akasema kwa anavyocheza anajipa 4/10
Martinel ,saka, Øde,smith walikuwa na potential ila sio Kama walivyo Sasa
Jesus kaja Arsenal kaingia moja kwa moja kwenye kikosi, tumelipa £45m, Hivyo hivyo kwa Zinchenko tumelipa £35m ntashangaa kama tutalipa £80m kwa mchezaji wa ligi ya Ukraine,
labda sio Arsenal ninayo ijua.
Utasikia City hawa na mia.arsenal watafte Alternatives, hawa majamaa hawana akili
Tulitoa ofa ya £50m kwa Raphinha ikakataliwa, tukaenda na kiasi hicho hicho kwa Pedro Neto, Wolves wakaikataa Shakhtar wanafikiri tutatoa £80m kwa mchezaji wa ligi ya Ukraine? Haha, wanajidhani wanafanya biashara na man u au Chelsea, ndio maana kwenye negotiation wanamtaja Anthony wa man u
Sipingi usajili wa Mudryk, ni mchezaji mzuri na uwezo anao na utakuwa usajili mzuri kama tukimpata kwa thamani aliyonayo.
Sio pesa zangu sawa, lakini kwa nini tulipe pesa ya Superstar kwa mchezaji ambae bado atahitaji karibia misimu miwili ili akamilike kama tunavyo mtaka?
Mudryk ni mchezaji mzuri ila ni mchezaji wa 'project' na akija Arsenal haanzi mbele ya Martinelli kwa hiyo sidhani kama tutalipa hiyo £80m.
Mudrky atahitaji Kuna vitu awekwe sawa
Martinell,saka ,smith,Partey , Øde ,wote wamekuja Arsenal, au walikuwepo Arsenal kabla ya Arteta , walikuwa wachezaji wakawaida Sana, Kama Partey alifikia hatua akasema kwa anavyocheza anajipa 4/10
Martinel ,saka, Øde,smith walikuwa na potential ila sio Kama walivyo Sasa
Jesus kaja Arsenal kaingia moja kwa moja kwenye kikosi, tumelipa £45m, Hivyo hivyo kwa Zinchenko tumelipa £35m ntashangaa kama tutalipa £80m kwa mchezaji wa ligi ya Ukraine,
labda sio Arsenal ninayo ijua.
wabebe tu, antony na sancho si wale man utd, fee kubwa wana jipya ganiUtasikia City hawa na mia.
Alternative ipo tayari, Arsenal wameshamshika masikio mchezaji ,Hivo atafosi atakuja tuarsenal watafte Alternatives, hawa majamaa hawana akili
Neto anacheza pia false 9 , ndio maana Bei ilikuwa mwisho €50m ,wolves walipojifanya wanapandisha ,akaachana naeKwa mtazamo wangu bado najiuliza Arteta aliona nini kw Pedro Neto ambacho mimi sikioni?
Mudryk ni mzuri £60m inclusive ni fair price.