Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Enzo ni mchezaji mzuri ila si mchezaji wa €120m, Profile yake haina tofauti na Xabi Alonso.

Benfica wabaya sn, walimpiga Atletico €120m kwa Felix sahivi wanamtoa mkopo, wamempiga liverpool €100m Nunez, tukasema ni mchezaji wa project, tacticos JF wakasema si mchezaji wa project ni complete player, sasa complete player anafundishwa finishing & decision making? Ok soon mwingine anapigwa €120m kwa Enzo afu unakuja kugundua Jude ni zaidi ya Enzo as Jude anaexcel kwa phases zote hadi Final 3rd.
 
Kuna muda 3-2-5 Tierney akiwa ndani na 2-4-4 kama Zinchenko akiwa ndani kwenye Build Up. Hivi ndivyo Arteta anavyotupa darasa kila siku.

Ni ngumu sana kucheza na Arsenal. David Moyes alipoulizwa kama anafurahi kukutana na Arsenal alisema “Ningependa kukutana na Arsenal miaka 3 nyuma lakini sio sasa”. Unajua kwanini?

Arsenal na Arteta hawatabiriki. Wanakuja kitofauti kabisa, huwezi kuwa-press kwa dakika 90, ukiwashambulia ni lazima na wewe ushambuliwe, wanacheza na kupasiana kwa haraka. Ni ngumu mno kushindana nao.

Dhidi ya Westham Arteta aliongeza kingine kwenye ubongo wangu. 2 build up plays. Namna nyingine ambayo shape ya Arsenal inavyokua wakiwa wanaanza Mashambulizi.

3-2-5 kukiwa na Tierney. Gabriel-Saliba na White mama Back 3, double pivot ya Tierney na Partey, halafu 8’s wawili Xhaka kama Runner na Ødegaard kama Controller halafu Wings una Martinelli na Saka, na main target Nketiah.

Hii ilibadilika alipoingia Zinny. 2-4-4 kwenye Build up. Saliba na Gabriel kama Centre backs, halafu Zinny, Partey, White na Xhaka juu yao Ødegaard, Saka na Martinelli kwenye wings na Nketiah kama main target.

Arsenal is unpredictable. Ni ngumu kukabika. Ni ngumu kujilinda usiadhibiwe. Game nzuri msimu huu ni kati ya Arsenal na City. Hapa tutashuhudia ufundi na ubunifu na uwezo wa wachezaji tena kwa hali ya juu mno.

Arteta ni Masterclass
 
Kwa Enzo Fernandes pale yule dogo ni mtu na nusu ,

Ukimuweka Bellingham na Enzo, aisee nasepa na Enzo,

Media zilimpigia Sana promo Bellingham, ila kwa Moto aliouwasha Enzo, Kuanzia Madrid, Liverpool ,man u ,Chelsea wote wamegeukia kwa Enzo, wamegundua uhalisia


Bellingham akikutana na Viungo wenye ufundi kidogo huwezi kumuona ,

Binafsi nilikuwa Team Argentina ,Baada ya mechi ya Kwanza nikawakataa nilipoona Viungo wao Parades na De Paul , nikahamia Spain Sababu napenda mpira mzuri,

Mechi ya 2 Argentina wakaanza kumtumia Enzo Fernandes , hapo ndipo Argentina ilibadilika ,dogo ni fundi, humpress kiboya ,passing ability
,

Bellingham mechi nyepesi nyepes ndio utamuona , Enzo kachafua mechi Zile nyepes ,ngumu katakata

Nunez ilikuwa risk ya kupigwa Ni kubwa, wewe mchezaji kafanya vzr msimu mmoja unaruka nae kwa €100m .
 
TUTAPIGA PESA NDEFU HAPA TUKITAKA KUUZA ,

Ten goals from Folarin Balogun in just 16 games in Ligue 1 this term. Last season, Ekitike, who joined PSG on loan with a €35m purchase option, scored 11 goals in 26 games.
 
Arsenal are one of the teams interested in Martin Terrier

(Mediafoot - Mediafoot OM were the 1st to link us with Mudryk and this appears to be part of the same network)
 
Enzo nimemuangalia kwenye World cup, Argentina nilikuwa naisupport pia, ni mchezaji mzuri kwenye phases mbili za chini.

Enzo hn tofauti na partey kwa majukumu anayopewa, lakini utofauti wao partey ana physicality ya kumudu central area Peke yake kwenye kila transitional moments ( Attacking/ Dafensive) , kocha wa Argentina Scaloni in possession amemtumia Enzo kwenye build up & progression lkn off the ball alimuhitaji Rodrigo De paul ambaye alikuwa anacheza km right wing in possession kuja katikati kufanya dirty works cuz alikosa athleticism kwenye mid area, so in my opinion Enzo analack athleticism in defensive transition lkn pia he doesnt excel to tht extent in 3rd phase, that's why i opt for Bellingham . Nimetumia Argentina's performance kama Benchmark.
 
Upo sahihi , kwa hizo Sifa , Bellingham napiga chini , mechi nyepesi tu ndio utamuona

Kule bundesliga anafanya vzr ,njoo Sasa akikutana na Viungo nje ya bundesliga anavyotepeta

World cup mechi ya Kwanza kafanya vzr dhidi ya Iran Sababu Ni average team ,

Mechi ya 2 dhidi ya USA ,yenye watoto mafundi kama Musah Weston na Tyre Adams ,ilibidi Bellingham wamtoe aingine Henderson Timu ikatulia ,

Southgate akagundua ,ili uupate ubora angalau wa Jude, Ni kumuwekea 2 holding Midfielders (Rice na Henderson) ,na hata akienda Liverpool anaenda kutumika na Viungo wawili wakumfanyia Kazi chafu,

Iwapo utamchukua umtumie kwenye double 8, Basi unahitaji workrate kubwa kwa wachezaji wako, na Muda wowote usubiri apotezwe .

Southgate alipenda atumie double 8 ( mount & Bellingham) chini Yao Rice , Akaja kugundua atapigika vibaya ,hakurudia
 
namkubali zinny lkn game na brighton itabidi ajiandae vizuri kiulinzi zaidi.. upande wake kuna march so itakuwa kazi kum zibiti yule jmaa.
 
namkubali zinny lkn game na brighton itabidi ajiandae vizuri kiulinzi zaidi.. upande wake kuna march so itakuwa kazi kum zibiti yule jmaa.
Waandishi wa habari walimuuliza Arteta swali Kama lako mechi na Spurs ,wakamwambia Spurs anatumia kaunta ,je umejiandaaje Upande wa Zinny

Aliwaambia hawazi kulinda kaunta, Cha Kwanza ikamate game , mengine yatafata

Without ball ndani ya sekunde utaona Arsenal Shepu ya ulinzi imebadilika na kuwa 4-4-2 , saka na martinel wanarud kusaidia kukaba .
 
namkubali zinny lkn game na brighton itabidi ajiandae vizuri kiulinzi zaidi.. upande wake kuna march so itakuwa kazi kum zibiti yule jmaa.
Waandishi wa habari walimuuliza Arteta swali Kama lako mechi na Spurs ,wakamwambia Spurs anatumia kaunta ,je umejiandaaje Upande wa Zinny

Aliwaambia hawazi kulinda kaunta, Cha Kwanza ikamate game , mengine yatafata

Without ball ndani ya sekunde utaona Arsenal Shepu ya ulinzi imebadilika na kuwa 4-4-2 , saka na martinel wanarud kusaidia kukaba .
 
ni sawa mze lkn brighton hawachezi kaunta.. 1 vs 1 lzima zitatokea nyingi tu hususan kwa zinny na white.

ukiwatizama namna wanavocheza brighton.. wingers zao zinakaa pia karbu sna na touchlines kutanua uwanja na pia mpira wao ni wa kumiliki zaid n ku control mchezo.

kama tomiyasu atakuwa fit.. hi game ingemfaa zaid.. kwa mbinu za wkt huu za arteta namn zilivo.
 
TUTAPIGA PESA NDEFU HAPA TUKITAKA KUUZA ,

Ten goals from Folarin Balogun in just 16 games in Ligue 1 this term. Last season, Ekitike, who joined PSG on loan with a €35m purchase option, scored 11 goals in 26 games.
Huyo si wa kuuza, akomae hapo kama Saliba atakuja kutufaa. Ni finisher mzuri sana na tunamhitaji.
 
Belligham sio mchezaji wa build up, ukicheza na Mount & Rice km 8s. rice anabaki km lone 6. Kumbuka Rice doesnt excel enough with the entire build up running thru him as lone 6, kocha anaona ni vizuri Henderson awe beside him kusaidia build up with his passing range. Km Bellingham angekuwa anaexcel kwa build up phase basi angekuwa untouchable level za Mbappe. Bellingham ni replacement nzuri ya Xhaka but i know we cant afford this. Ningependa Arsenal tuwe na Locatelli, Rice, Bellingham siku moja
 
Nimeisoma hii nimeona makosa hapo kwenye Mount & Rice ilibidi kuandika Mount & Bellingham km 8s.
 
De Zerbi:

"Webster and Welbeck are not able to play [vs Arsenal] but we knew last week we had to wait another week."
He added Mac Allister will be back soon but will also miss the Arsenal match.
#bhafc #afc
 
KWA WANAOMJUA MUDRKY

De Zerbi on his former player Mudryk:

"Mudryk is a fantastic player but Brighton can't buy him. I like him because all my ex-players I like but I am Brighton's coach. I think Mudryk can win the Ballon d'Or in the future. I know the value of Mudryk." #bhafc #afc
 
NAFATILIA PRESS YA DI ZERB KUELEKEA MECHI BRIGHTON VS ARSENAL KESHO

Adam Webster, Danny Welbeck, Mac Allister and Moises Caicedo will all miss Brighton's match with Arsenal. Boost.
 
Arsenal are the ONLY team with 4+ players on 20+ chances created from open play in the Premier League this season:

• 25 - Martin Ødegaard
• 25 - Bukayo Saka
• 23 - Gabriel Martinelli
• 22 - Gabriel Jesus
• 21 - Granit Xhaka

We have five.


[@squawkafootball]
 
Brighton wanajifanyaga wabishi ,wanapenda kubishana

Kesho wataelewa kuwa sio kila timu ni ya kupishana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…