[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] Mudryk ni mchezaji anaetegemewa pale Donetsk sio kama kina Jesus ambao baada ya ujio wa Halaand walikua hawana tena nafasi kwenye timu.Subiri uone Sasa tunambeba kwa Bei chini ya hiyo €100m
Soko waliharibu PSG, baada ya hapo kila kitu kikawa gharama sahiv 30m inaonekana ni bargain[emoji23]Man u, Chelsea wameharibu Sana soko
Mchezaji wa €40m wanamchukua kwa €100m
Na man u walipomnunua Pogba kwa £89m Magwaya £85mSoko waliharibu PSG, baada ya hapo kila kitu kikawa gharama sahiv 30m inaonekana ni bargain[emoji23]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Hivi unajua mchezaji mwenyewe hataki kusikia timu nyingine zaidi ya Arsenal? Hiki ndicho kinafanya twende nao mdogo mdogo[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] Mudryk ni mchezaji anaetegemewa pale Donetsk sio kama kina Jesus ambao baada ya ujio wa Halaand walikua hawana tena nafasi kwenye timu.
Kuanzia wiki ijayo Real Madrid, Psg na Man United wanatuma offer zao Shakhtar Donetsk tuone jinsi mtavyotupiwa usoni hizo £50k.
Niliwaambia mapema kama kweli mnamtaka Mudryk mmalizane mpema kabla ya fainali ya Wc, baada ya kumalizika kwa Wc nyinyi kima hamtakua na uwezo wa kumsajili Mudryk.
Ila Aaron Arsenal huyu Mudryk anaitesa sana nafsi yako, tokea zilivyoanza tetesi za Arsenal kumsajili nafsi yako haina amani kabisa mpaka utakapomuona anatua Emirates[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]This is not a case of bid rejected, that's it.
Talks are still going on for Mudryk. Arsenal want to get it done early.
[Via @charles_watts]
Ngoja tuwaone walisema watavuna point zote hapo[emoji23][emoji23]NAONA LIGI INAANZA SASA
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2461118
Shaktar want €100m for Mudryk when their whole squad is worth €115m.Shakhtar Donetsk have confirmed to Arsenal that they will not accept their opening official bid for Mudryk, worth €40m + €20m [emoji599][emoji1255] #AFC
It has been turned down, as reported on Monday.
But Arsenal are still in contact with Shakhtar and player side, negotiations will continue.
Shaktar want €100m for Mudryk when their whole squad is worth €115m.
Just buy the club, move Mudryk over and sell the club again for €50m. Problem solved.
Au manasemaje wadau?View attachment 2461267
Yaani maximum ni kwa arsena ni £45m to £50mMinimum price set by shaktar is £85m, but the player still sings of Arsenal
Yaani maximum ni kwa arsena ni £45m to £50m
Ngoja tumpe namba ya Fei toto wazungumze anaweza kumpa ushuri
Let wait and seePretty sure Arsenal cannot let this deal slip out of their hands
Mimi ndio maana nawakubali sana NewcastleMan City na Man Is wameharibu sana soko la usajili washenzi hawa, average players wengi naona wanakuwa overpriced,pumbavu zao