Yeah.......haiwezekani kuwa na tabia moja hata kama ni wa tumbo moja.labda ni kwa sababu ni mwana arachuga kwa wahuni. ingawa mimi mwenyewe ni wa huko ila mimi najiona ni wale ma gentlemen wa chuga 😀 😀
Huyo Flano soon ataunga juhudi Imarati.😀😀😀 siku hizi naingia humu kusoma updates lakini zaidi ni kusoma Flano na Carrasco putin wamepost nini. World cup ikiisha habari za arsenal zitarejea 😀😀
Huyo Flano soon ataunga juhudi Imarati.😀😀😀 siku hizi naingia humu kusoma updates lakini zaidi ni kusoma Flano na Carrasco putin wamepost nini. World cup ikiisha habari za arsenal zitarejea 😀😀
UNAMWONA KAMA SHABIKI MPYA WA THE GUNNERS MUDA SI MREFU? 😀 😀 😀 Hapana bwana. Ingawa hata yeye mwenyewe ManUTD anawaita manyumbu, yeye ni mpenzi tuwa mpira na anajua kutokujipa stress za kijingakisa mpira. Kifupi jamaa yuko matured.Huyo Flano soon ataunga juhudi ImaratI
Safi sana mkuu ila usiwe unapita kimya kimya, uwe unachangia mada japo kidogo.😀😀😀 siku hizi naingia humu kusoma updates lakini zaidi ni kusoma Flano na Carrasco putin wamepost nini. World cup ikiisha habari za arsenal zitarejea 😀😀
Siku hizi nafasi imekuwa finyu sana kwangu. Hata mechi nashiindwa kuangalia. Mambo juu ya mambo ila nifanyeje sasa na ujana ndiyo upo sasa hivi? 😀 😀 😀 Acha tupigane na life kwanza . Nikishakaa sawa nitarudi mazima.Safi sana mkuu ila usiwe unapita kimya kimya, uwe unachangia mada japo kidogo.
Sasa hivi mimi nimeweka kambi humu maana jukwaa lenu limekua la moto sana halipoi.
Vijana wenu wanatwambia Arteta lazima achukue tuzo yake Qatar, maana yeye ndie mwalimu wa makocha wa timu ya Morocco na Argentina.
Mwambie huyo @ulikamafu mpira ni starehe na burudani iliyojaa ucheshi, asiichukulie serious sana mpaka akapata depression.uN
UNAMWONA KAMA SHABIKI MPYA WA THE GUNNERS MUDA SI MREFU? 😀 😀 😀 Hapana bwana. Ingawa hata yeye mwenyewe ManUTD anawaita manyumbu, yeye ni mpenzi tuwa mpira na anajua kutokujipa stress za kijingakisa mpira. Kifupi jamaa yuko matured.
Kabisa mkuu. Huwa siwaelewi watu wanaotukanana humu kabisa.Mwambie huyo @ulikamafu mpira ni starehe na burudani iliyojaa ucheshi, asiichukulie serious sana mpaka akapata depression.
Wazungu wenye timu zao huko ulaya wanapiga mkwanja mrefu halafu nyinyi mashabiki mliokunywa maji ya bendera mnaanza kugombana na kutukanana wengine mpaka wanauana kisa kushabikia hizi biashara za wazungu.
Safi sana.... kweli matured n stressless na haporomoshagi matusi. Ila ataunga juhudi we sikilizia...uN
UNAMWONA KAMA SHABIKI MPYA WA THE GUNNERS MUDA SI MREFU? 😀 😀 😀 Hapana bwana. Ingawa hata yeye mwenyewe ManUTD anawaita manyumbu, yeye ni mpenzi tuwa mpira na anajua kutokujipa stress za kijingakisa mpira. Kifupi jamaa yuko matured.
Siku hizi nafasi imekuwa finyu sana kwangu. Hata mechi nashiindwa kuangalia. Mambo juu ya mambo ila nifanyeje sasa na ujana ndiyo upo sasa hivi? 😀 😀 😀 Acha tupigane na life kwanza . Nikishakaa sawa nitarudi mazima.
Safi sana.... kweli matured n stressless na haporomoshagi matusi. Ila ataunga juhudi we sikilizia...
Pesa ipo hata sisi tutachanga kama kwenye harusi uje.yaani mimi niwe Arsenyani?
Labda Edu na Arteta watoe fungu nene sana la kunisajili kama shabiki wao muhimu wa Afrika mashariki na kati.
Dogo ana ujuma kaseja fulani kwenye kuchheza penati.Dubai cup
Madogo wamepewa nafasi
Karl Hein ameonesha kiwango kizuri, kila mechi ilikuwa na penalties Baada ya mechi bila kujalisha umeshinda au umefungwa
Karl Hein amepata clean sheet moja katika mechi 2, kwenye mikwaju ya penalties ameokoa penalties 5
View attachment 2446387
Mkuu hamis77 mbona unataka kufufua tena majibizano yasiyo na tija yoyote ambayo tulishakubaliana katika kutokukubaliana.Yule jamaa mwana siasa tulimwambia Aache siasa ,akawa analeta ujuaji
Arsenal haiwezi kusajili DM NA LCB January hii maana Ina option hayo maeneo ,Bali itajikita zaidi eneo la ushambuliaji .
Hayo maeneo ya DM na LCB Hadi kiangazi ,akatoa dharau na kashfa za kutosha.
Kama mfatiliaji wa arsenal ipo wazi eneo la backline Kuna option za kutosha sio Kati sio Pembeni
Eneo la DM Kuna Elneny , Ni eneo la Ushambuliaji ndilo linahitaji maboresho
Na Target kuu Ni mudrky ,Huyo Felix Ni kelele tu zakutafutiwa soko sio habari zinazoonekana zipo mbele Sana.
Yuko obsessed na chama la wanaWee jamaa una kamtindio flani ka kishkaji.
Njioo huku Flano mwenzio huyo yuko huku anatusumbua. Kashakula cha Arachuga.Nyie Arteta ndio kama mungu wenu, atakachosema ndio hicho hampingi. Siku akiwaomba kidoti amchelewi kumpa nyie misukule ya arteta.
OkNyie Arteta ndio kama mungu wenu, atakachosema ndio hicho hampingi. Siku akiwaomba kidoti amchelewi kumpa nyie misukule ya arteta.
Cha unga limited hahahahaNjioo huku Flano mwenzio huyo yuko huku anatusumbua. Kashakula cha Arachuga.