Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,723
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] mashabiki wa Arsenyani banaaaa hua hamuishiwi vituko.Nakupa hii ,kipindi fulani cha Corona Mikel Arteta alifanya Lecture kupitia Zoom,alikuwa anaendesha vipindi kuhusu Mpira ,moja ya Lecture alifundisha aina ya Low block akitumia mfano wa mechi ya Nusu fainal FA cup Arsenal vs Man city ambayo Arsenal alishinda 2-0 , Kocha wa morocco Walid Regragui hapo awali alikuwa amehudhuria moja ya mihadhara iliyotolewa na kocha Mikel Arteta,
Jana Arteta kampongeza Walid Regragui
Arteta on Walid Regragui ,Morocco coach - "The impact he’s having, he’s a total credit to them. What he is doing is amazing, and what he is transmitting is great, and it’s a really positive thing for world football to have an African team at the stage."
(Arsenal)View attachment 2446210
Wee jamaa una kamtindio flani ka kishkaji.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] mashabiki wa Arsenyani banaaaa hua hamuishiwi vituko.
Haya hongereni kwa kua na The big coacher in the world, ambae pia ndio mwalimu wa Walid Regragui.
Halafu mmeasahau pia kua mpaka kocha wa Argentina Lionel Sebastián Scaloni ni mwanafunzi wa Arteta, siku 2 kabla ya mechi hua anampigia simu Arteta kumuomba ushauri na mbinu za kutumia ili timu yake ipate ushindi.
Wewe jamaa burudani Sana ,[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] mashabiki wa Arsenyani banaaaa hua hamuishiwi vituko.
Haya hongereni kwa kua na The big coacher in the world, ambae pia ndio mwalimu wa Walid Regragui.
Halafu mmesahau pia kua mpaka kocha wa Argentina Lionel Sebastián Scaloni ni mwanafunzi wa Arteta, maana na yeye pia hua anahudhuria kwenye mapindi (lecture) ya Arteta,
Siku 2 kabla ya mechi Scaloni hua anampigia simu Arteta kumuomba ushauri na mbinu za kutumia ili timu yake ipate ushindi.
Dogo yuko njema sana.Dubai cup
Madogo wamepewa nafasi
Karl Hein ameonesha kiwango kizuri, kila mechi ilikuwa na penalties Baada ya mechi bila kujalisha umeshinda au umefungwa
Karl Hein amepata clean sheet moja katika mechi 2, kwenye mikwaju ya penalties ameokoa penalties 5
View attachment 2446387
Na kuna yule mbwiga fulani hivi ni shida hawa jamaa.😀😀😀 siku hizi naingia humu kusoma updates lakini zaidi ni kusoma Flano na Carrasco putin wamepost nini. World cup ikiisha habari za arsenal zitarejea 😀😀
Na kuna yule mbwiga fulani hivi ni shida hawa jama
Huyo huyo.....ana shombo sana huyu.ollachuga nini? jamaa matata sana kwa kutuzingua 😀 😀
Yule jamaa mwana siasa tulimwambia Aache siasa ,akawa analeta ujuajiSome key points from @RyanTaylorSport's article
[emoji599]Arsenal considers Mykhaylo Mudryk to be their primary attacking target, the deal is difficult.
[emoji599]CM & LCB are on the agenda, might with for the summer.
[emoji599]Arsenal are unlikely to panic,they have a plan
[emoji599]No timeframe on Jesus yet
uyo jamaa burudani sana.Huyo huyo.....ana shombo sana huyu.
Ila yule domo lake limeoza.h
uyo jamaa burudani sana.
labda ni kwa sababu ni mwana arachuga kwa wahuni. ingawa mimi mwenyewe ni wa huko ila mimi najiona ni wale ma gentlemen wa chuga 😀 😀Ila yule domo lake limeoza.
Edu saidYule jamaa mwana siasa tulimwambia Aache siasa ,akawa analeta ujuaji
Arsenal haiwezi kusajili DM NA LCB January hii maana Ina option hayo maeneo ,Bali itajikita zaidi eneo la ushambuliaji .
Hayo maeneo ya DM na LCB Hadi kiangazi ,akatoa dharau na kashfa za kutosha.
Kama mfatiliaji wa arsenal ipo wazi eneo la backline Kuna option za kutosha sio Kati sio Pembeni
Eneo la DM Kuna Elneny , Ni eneo la Ushambuliaji ndilo linahitaji maboresho
Na Target kuu Ni mudrky ,Huyo Felix Ni kelele tu zakutafutiwa soko sio habari zinazoonekana zipo mbele Sana.