Halafu tunamchukulia poa Sana Nelson
Kuna mtu nilikuwa namuambia hata elneny amebadilika Sana toka aje Arteta, ndio sababu Arsenal haina haraka kusaka DM ,
Wachezaji wengi wame improve
jidanganyeni hivyohivyo na hizi mechi za kirafiki, dirisha dogo likifunguliwa Kroenke aone hamna haja yoyote ya kufanya usajili kipindi hiki.
Kimbembe kitakacho wakuta katikati ya mzunguko wa pili msianze kumtukana Arteta humu.
Hongereni kwa ushindi mnono wa 2-1 dhidi Ac Milan.hapana aisee, mbona hata pre season tulishinda karibu mechi zote na usajiri ulifanyika
Walisema hili kombe Dubai Cup lazima kuwe na penalties kudetermine mshindi kipointi... sijui imeishia wapi?Second half kicks off with Arsenal making two changes Cedric and Elneny coming
Walisema hili kombe Dubai Cup lazima kuwe na penalties kudetermine mshindi kipointi... sijui imeishia wapi?
Hapana ,Kama Kuna mapungufu lazima kocha aombe fungu la usajili ,Hongereni kwa ushindi mnono wa 2-1 dhidi Ac Milan.
Pre season iliyoisha ilikua ni ya dirisha kubwa hio lazima usajili ufanyike kwa timu yoyote hata iwe ni Ihefu Fc, ila hili dirisha dogo timu nyingi zinazomilikiwa na Mabahili hua wanapuuzia kufanya usajili.
Sheria inasema ushindi wa dk 90 points 3 , penalty points 1Walisema hili kombe Dubai Cup lazima kuwe na penalties kudetermine mshindi kipointi... sijui imeishia wapi?
Sasa upungufu utoke wapi wakati Kroenke anaona friend matches zote mnashinda kwa kishindo?Hapana ,Kama Kuna mapungufu lazima kocha aombe fungu la usajili ,
Pre season mara nyingi wanapewa nafasi wanaotoka majeruhi na makinda
Sasa upungufu utoke wapi wakati Kroenke anaona friend matches zote mnashinda kwa kishindo?
hamis77 usijifanye hauwajui vizuri Wamarekani.