Daily Mail ni reliable source?Daily Mail limeripoti hivyo.
"They face each other today" utadhani hata watapata hiyo nafasi ya kucheza.Arsenal’s remaining representatives at the 2022 World Cup:
Aaron Ramsdale
Bukayo Saka
William Saliba
They face each other today
Why not?
antony, raphinya, rodrigo
Hao wote kiuwezo hawamfikii martinel
Kwanza martinel ana nidhamu ya mpira
Anacheza kitimu
Anaweza kukaba
Anaweza kuzuia
High speed
Martinel ameonesha impact kubwa kuliko hao kwenye level za klabu
Matokeo haya Brazil wamestahili
Mtu isipomfaa akili, utamfaa ujinga
Atacheza buruno"They face each other today" utadhani hata watapata hiyo nafasi ya kucheza.
Maguire ni striker wa ufaransa.Michezaji y Arse88 ina nux, Saka kashawachomesha waingereza. Ndio mana timu nyingine zinaweka michezaji ya Arse88 benchi.
Shabiki la ChelKenge ,chezaji lake Sterling hata 1v1 haliwezi, mount ndio uozo kabisaMaguire ni striker wa ufaransa.
England walipoteza baada ya kumtoa saka tuFrench TV saying Saka was electric and they were thanking the heavens that England took him off.
Jamaa aliingizwa kuonesha makalio yake tu maana hakuna cha maana alichofanya.Shabiki la ChelKenge ,chezaji lake Sterling hata 1v1 haliwezi, mount ndio uozo kabisa
Sasa kule kocha yuko na loyalty na akina Maguire, Sterling, Shaw, Mount na watu kama hao ufanyeje sasa.Huyu Ben White hajaifanyia England uhuni kweli mbona yupo kambini tayari
Hata kama ingekua mimi ningesepa tu View attachment 2442656