Arsenal (The Gunners) | Special Thread

️Granit Xhaka -


Tunahitaji kumu
unga mkono Eddie (Nketiah) pia, kwa sababu atakuwa sehemu kubwa sana ya miezi miwili au mitatu ijayo.


(@TheAthleticFC)
computerarsenal sisi kama AsaniWali tumekubaliana kwa pamoja dirisha dogo hatusajili mshambuliji yoyote, huu mzunguko wa pili tunaenda na Nketiah mpaka tunachukua kombe


Hii sasa rasmi ndio inaitwa rise and fall of Arsenyani 2022-2023.
 
United muda mrefu walishapeleka offer yao ya kumtaka Felix ila Atletico waliongea kwa herufi kubwa kua Felix hauzwi.
Hio pesa wanayotaka ni kubwa sana ila kuondoka kwa Ronaldo kutaifanya Man United kushawishika kumsajili Joao Felix ili kuziba pengo la Ronaldo.
Nyie Arsenyeto kwenye hizo mbio za kumtaka Felix mnatumika ili kuongezea tu thamani yake sokoni, ila hamna jeuri ya kumnunua Joao hata akiuzwa kwa £50m
 
Angepumzika hata wiki, YES ni kweli tunamuhitaji sana ila pia tunajali afya yake akiumia tu ni JANGA kubwa kwetu

Ametumika kuliko player yoyote wa Arsenal katika World Cup
 
Zifahamu tabia za thread za timu mbalimbali.

1. Manchester United hawa mashabiki wao asilimia kubwa wanaongelea usajili wa mchezaji fulani ukifanyika basi timu yao itakuwa bora. Hii ni trend toka aondoke Ferguson. Bahati mbaya wamesajili sana makocha na wachezaji lakini msiba haujaisha.

2. Manchester city wao ni mashabiki oyaoya, hawaujui mpira bali ni kelele nyingi kwasababu Guardiola anawapa mafanikio. Wengi wao ni wahanga kutoka klabu mbalimbali ambazo hazifanyi vizuri.

3. Arsenal ndio thread inayoongoza kwa uchambuzi wa mpira unaochezwa ndani ya uwanja. Wataalamu wote wa uchambuzi wa soka wapo pale. Pia ndio wanaongoza kupokea kejeli kutokana na kutofanya vizuri kwa misimu mingi ikiwemo kutobeba UCL wala Europa.

4. Chelsea wao thread yao imepambwa na malalamiko. Jamaa kila siku wako na lalamiko jipya. Kwa miaka kumi wamebeba karibu makombe yote makubwa lakini malalamiko hayaishi. Watamlaumu kocha, mmiliki, usajili m-bovu na hata timu pinzani.

5. Liverpool kwenye uzi wao utakuta wanaandika komenti ndefu sana lakini hamna cha maana zaidi ya kuwaongelea FSG, kiburi cha Klopp na majeruhi ya wachezaji. Wachambuzi wao wanapenda pia kutumia viingereza na huwa wanapotea kila timu inapofungwa na kurudi wakishinda.
 
Angepumzika hata wiki, YES ni kweli tunamuhitaji sana ila pia tunajali afya yake akiumia tu ni JANGA kubwa kwetu

Ametumika kuliko player yoyote wa Arsenal katika World Cup
Ametumika sana ameponza wenzie wamepgwa sita, ndio mana timu nyingine michezaji ya Arse88 inakula mbao.
Ukitaka kujua Arse88 y kawaida michezaji yote 1st 11 Arse888, timu y taifa inakula mbao, wengine ndio hawajaitwa kabisa.
 
3. Arsenal ndio thread inayoongoza kwa Matusi na lugha chafu, mashabiki wao wengi ni wale watoto waliokosa malezi ya pande mbili, members wake wengi ni wale watoto waliolelewa na single mother bila kusahau pia wengi wao ni madereva wa bodaboda hali inayopelekea bomba la matusi muda wote kua wazi, tena zilivyo Nyani hua zinatukanana zenyewe kwa zenyewe.

Povu ruksaaaaaaaa.
 
Una shobo sana wewe,hutulii kwako kule unyumbuni....hiko kipele nyuma ya bukta kinakuwasha sana
 
Kuna Maandiko au Post ukizisoma unajua uwezo wa akili y muandishi.

Kwa hili andiko walau umetuambia kuwa una kichwa tu cha mfano lkn ndani kumejazwa matakataka, na kupitia uandishi yametoka Nnje.
 
Kuna Maandiko au Post ukizisoma unajua uwezo wa akili y muandishi.

Kwa hili andiko walau umetuambia kuwa una kichwa tu cha mfano lkn ndani kumejazwa matakataka, na kupitia uandishi yametoka Nnje.
Unategemea nini kwa kichwa kama hiki kikuletee katiba mpya.
 
Una shobo sana wewe,hutulii kwako kule unyumbuni....hiko kipele nyuma ya bukta kinakuwasha sana
Malezi ya pande 2
Mitoto iliyolelewa na single mama hua inapenda kujiita Jr.
Na wanaojiita Jr. wengi ni mashabiki wa Arsenyani fanya utafiti kidogo humu Jf halafu uniambie kuna shabiki gani wa Chelsea, Liverpool au Man United anaejiita Junior.
 
| @FabrizioRomano:


“Joao Felix has chances to leave Atleti in 2023. Asking price will be more than €100m, around €120m, then will depend on the proposals. It’s early to say where. His agent is exploring the market & speaking to many clubs. He dreams of Premier League one day”
 
Kumbe Jana mmepigwa na upo kimya
 
Maisha Ya Soka

Hao Unaowaona Hapo ni Mashabiki Wa Uingereza Wakitoa Pongezi Kwa Kijana Hatari Zaidi Duniani Bukayo Saka Baada ya Kuonyesha Kiwango Kizur Kwenye Mechi Dhidi ya Senegal
.Ambalo aliendeleza Jadi Yake ya Kumtungua Edouador Mendy na Kumgeuza Muembe Wake wa Uani..

Hawa Hawa Mashabiki Baadhi Yao Ndio Waliombagua Kijana Alipokosa Penalti Wakati England Wakicheza Dhidi Ya Italy Kwenye Fainal Ya Euro

Aisee Tuache Masikhara Ukiacha Kiwango Chake Saka Pia Anajua Kuvumilia Mapito magumu Maana Tangu Wakose Penalty Yeye na Sancho Kipindi kile Mpaka Leo Sancho Haeleweki Kabisa Ila Saka Amerud Akiwa Imara zaidi Shukrani Pia Kwa Mikel Arteta na Benchi lake Lote Kwa Kumuimarisha Kijana Kiakili na Kiwango Pia

Fundisho..Mashabiki Watakupenda Ukiwa na Farida Kwao Tuu Tena Haswa Watu Weusi…
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…