Arsenal (The Gunners) | Special Thread

That's why hata timu yao ya Taifa(England
󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿)haina Maajabu! Miaka nenda rudi
Hivi sasa England tayari imeshapangiwa first 11 vs Iran na waandishi wa habari, columnists, wapambe, mawakala, majarida, mucisians, editors, fans, walevi, mashoga, pundits, akina Neville..
etc. Hapo kuna timu kweli?
 
England wana timu nzuri, quality all over the pitch, ila final nadhani watacheza Brazil & Argentina. Timu km Brazil/Argentina kuna wachezaji wengi wanaocheza timu kubwa ulaya siku hizi, hivyo wamepata elimu bora kimbinu chini ya makocha bora ex: Pep, Simeone, klopp, Arteta plus vipaji walivyonavyo, kama technical bench watakuja na system inayofit profile walizonazo now they're unstoppable. Sidhani kama kuna timu nzuri kuzidi Brazil kwenye WC, all eyes on Tite now, binafsi naipenda Brazil ila Messi nampenda zaidi, God save the king.
 
Ukiachana na ARSENAL sina uzalendo na timu yoyote hapa duniani club or taifa

Argentina
Nimekua muargentina kwa sababu ya andunje messi, lapulga
Japo kabla ya kulikuwepo pia batistuta
Na akija retire national team, na mimi itakua bye bye na Argentina
I wish this year uwe mwaka wao

Netherlands
Niliipenda kwa sababu ya akina Ruben, Snider,
Na aina ya mpira wao ulikua unanikosha sana
Netherland ya sasa hivi wanajaribu kunivuta tena lakini ndio hivyo, hakuna kitu

Germany
Hili taifa huwa nalikubali tu
Kuanzia mambo ukoloni, technology na nyanja zingine

Binafsi ndio huwa naliona taifa teule
Achana na mtu anaeitwa mjerumani, ata zile adhina zao (Mali za mjerumani)
Ata Tanzania tungekua chini ya mjerumani tungekua mbali sana
Huwa nasikitika kutawaliwa kwa muda mchache na hili taifa
Sifurahii kutawaliwa, ukweli ni kuwa akili za watanganyika na afrika kiujumla zililala, kwaio ilibidi tupate external force ya kutuamsha

Mjerumani muda wa kazi ni kazi
Na kazi za mjerumani hana show mbovu
Majengo, vifaa,
Na inasemekan mjerumani ni miongoni mwa taifa top3 kwa uchawi duniani
Wenzetu uchawi wanautumia vizuri sana
Sio sisi watanzania

Hayo maelezo ndio yanafanya hadi timu yao ya taifa niwe naifatilia
Wakiwa vizuri naburudika nao, wakiwa hovyo wanabaki wao wenye
Lakini WC hii siwaoni wakifika mbali


Brazil
Hii ni timu ya dunia, haujaipenda Brazil haujaupenda mpira
Kizazi cha kina ronaldinho 2002 pale Japan
Ilikua hatari sana
Kizazi cha pekee sana kuwai kutokea
Nkumbuka michuoano hiyo nilikua nacheki na bimkubwa, bimkubwa mwenyewe alikua anaburudika jinsi ronaldinho gaucho alivyokua anafanya matusi yake uwanjani
Ronaldo og, gaucho, Carlos, cafu, rivaldo
Hilo combo sidhani kama litakuja kutokea

Ata WC hii nawao wapo vizuri kimtindo

Argentina
Brazil

NB
Sinagana uzalendo na taifa lolote hapa duniani
 
Eti kocha bora ukamtaja Arteta, hivi nyie Arse88 mmerogwa? Nahisigi kuna nyaya zinagusanga nyie watu.
 
Arteta has ruined the fun of this sport because every team I watch now that isn’t Arsenal play so dead compared to us
 
Eti kocha bora ukamtaja Arteta, hivi nyie Arse88 mmerogwa? Nahisigi kuna nyaya zinagusanga nyie watu.
Bora umuelekeze,,,, anapewa ubora kwa kipi ? Huyo ni upcoming, lets wait and see ! One season wonder !!!!

Kashinda kombe gani la maana ? Au Ni ile FA ?
 
Bora umuelekeze,,,, anapewa ubora kwa kipi ? Huyo ni upcoming, lets wait and see ! One season wonder !!!!

Kashinda kombe gani la maana ? Au Ni ile FA ?
Season wonder gani? wkt hata robo y msimu bado, msimu huu akijitahid sana nafas y tano. Wanajazanaga ujinga hapa kama hujui utafikiri wana timu y kina xav,inesta,mess na kocha pep.
 
Bora umuelekeze,,,, anapewa ubora kwa kipi ? Huyo ni upcoming, lets wait and see ! One season wonder !!!!

Kashinda kombe gani la maana ? Au Ni ile FA ?
Unaumia Sana ,Arteta ana miaka 2 na miezi 10 , ana FA cup kabatini, timu ipo mikono salama, au unadhani sawa na kina ole guna, Kama mlivyokuwa mnadai,?

One season wonder? Wivu utakuua, hata Cr7 mwenyewe anataman jinsi Arsenal wanavyokichafua,

Manyumbu mnahitaji miaka 3 angalau mcheze hivi anavyocheza arsenal ,japo CR7 na waliopita hapo unyumbuni wanadai inaweza kuwachukua miaka 10
 
Season wonder gani? wkt hata robo y msimu bado, msimu huu akijitahid sana nafas y tano. Wanajazanaga ujinga hapa kama hujui utafikiri wana timu y kina xav,inesta,mess na kocha pep.
Ulitaka tusifie litimu lako ambalo hata pass mbili haliwezi?

Timu limetumia £300m linazidiwa hata na ihefu kiuchezaji

Ulitaka tulizungumzie ?

Kumbe tunavyojadili Arsenal inawauma



Unanunua Sterling, nafasi 20 goli 1, auba mzee, kolobai mzee, unataka tuseme timu yenu Bora
 
Mwezi wa tano next year utakuja na kauli nyingine hapa jukwaani !
 
Mwezi wa tano next year utakuja na kauli nyingine hapa jukwaani !
Unapiga ramli
manyumbu bhana ,timu lako bovu ,najua mnataman icheze Kama Arsenal ila haiwezekani hata cr7 kasema

Zlatan Ibrahimovic

“Kila Mtu Anafikiri Kuwa Manchester United Ni Klabu Kubwa Miongoni mwa Klabu Tajiri Na Klabu Yenye Nguvu Duniani,Kwa Mtazamo Wa Nje Ndivyo Inavyoonekana."
“....Lakini Nilipokuwa Pale Niligundua Ni Timu Ndogo, Yenye Mawazo Yaliyofungwa.."
h
 
Mwezi wa tano next year utakuja na kauli nyingine hapa jukwaani !
Acha ushirikina kijana ,mlianza kudai Ni preseason TU, mkaja oho tusubiri October hatuwezi kutoboa ,Hadi makala mkachapisha

Now mnapiga ramli Tena


Timu lako bovu na unataman angalau mcheze sex football Kama Arsenal


Ila Ndio hivo haiwezekani ,endeleen kusubiri papatupapatu ,JINI KATOKA MGANGA HOI ,

like mech na Fulham, Leicester, westham,n.k

Timu limetumia £250m limenunua mzee wa 30yrs ,ball dancer €100m , Ina maana msimu ujao timu linaanza kusaka mbadala wa case na Eriksen ,cycle ya struggling inarudi Tena.


Unashindwa kujadili timu lako unamuonea wivu Arteta kusifiwa kwa kuibadili Arsenal alipoikuta
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…