Tusitarajie Sana kupata ubora wa Saka na wengineo katika mech Hizi za mwisho,
Mech na Chelsea ,Saka alikuwa anacheza hataki kugongana ,unaona kabisa anawaza World cup ,na hii trend ya wachezaji kuumia , inazidi kuwatisha
Saka ninayemjua angekiwasha ile mech , Cucullera alikuwa uchochoro Sana,
Saka ,martinel n.k sidhani Kama watakuwa tayari kuingiza Miguu sehemu hatarishi kwa Hizi Mechi 2