Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,720
Asije kuishia kama Wilshere, na hivi waingereza wanavyojua kutukuza sasa.Tatizo dogo kaanza kupata injuries mapema sana sijui kama atafika mbali licha ya ubora alionao ,hata last season kabla ya injury hii kubwa alikuwa hakosi mechi 1 au 2 bila kwenda hospital may be akirudi Mungu amsaidie
Tatizo anachoka haraka balaa.Akiwepo Zinny huwa tunacheza kwa swagger Sana , soft football ,tunaondoka kwenda kushambulia
Kwenye buildup tunakuwa na Wachezaji Sita ,Ben White,saliba , Magalhaes ,Zinny na Partey
Zinny Ni mzuri ku control game hata kwenye mazingira ya presha ,
Upo negative sana mkuu...tumuombee memaSijui kwanini, namuona atakuja ishia kama fundi jack wilshere.
Mzee hujaona kuna emoji ya kusikitika, unadhani sipendi kumuona akifanya mambo yake, nasikitika kama ambavyo bado namsikitikia jackUpo negative sana mkuu...tumuombee mema
Uongozi wa arsenal ulikubaliana afanyiwe surgery na apewe muda wa kupumzika ,ili tatizo lisiwe la kujirudia,Sijui kwanini, namuona atakuja ishia kama fundi jack wilshere.
Kila la kheri.Uongozi wa arsenal ulikubaliana afanyiwe surgery na apewe muda wa kupumzika ,ili tatizo lisiwe la kujirudia,
Awali msimu huu alikuwa awe anacheza ,tatizo likaja akicheza mech 2 tatu, anasikia maumivu, wakakubaliana afanyiwe upasuaji na akae nje ,ili akirudi awe fiti .
So December katikati Atarejea akiwa fiti
Wengi wa wachezaji wa uingereza ndivyo walivyo, mwanzo wa careers zao wapo on fire, baada ya mda wanaishia kuwa very average.Upo negative sana mkuu...tumuombee mema
Ila sio Kwa ESR!.. yule dogo ana bonge la kipaji!... Labda kama kiwango kitashuka Kwa sababu ya injuries kama wilshere hapo sawaWengi wa wachezaji wa uingereza ndivyo walivyo, mwanzo wa careers zao wapo on fire, baada ya mda wanaishia kuwa very average.
Yule Gabdiel Magh6, hua tunasema humu na kuna mtu alisema, kua hata timu ya Taifa hawez kuitwa ya kuelekea kombe la dunia na limetokea kwelOfficial Brazil Squad 2022 View attachment 2409530
Hiyo sio sababu , kwani Bremer kamzidi Nini Gabriel Magalhaes?Yule Gabdiel Magh6, hua tunasema humu na kuna mtu alisema, kua hata timu ya Taifa hawez kuitwa ya kuelekea kombe la dunia na limetokea kwel