Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,720
Sasa ile defence yote ya Brazil itakuwa na wazee watupu.According to @brunoandrd Gabriel Magalhaes won’t be called up for the World Cup. #afc
Wawaache tu wasiumie, Kama Ghana napenda watoke mapemaSasa ile defence yote ya Brazil itakuwa na wazee watupu.
namuona atafanya vizuri sna kwenye eneoSmith Rowe returning for the #Arsenal in the New Year will feel like a new signing!
View attachment 2409010
Hili la Ghana muhimu sana, ila Brazil national team ni kitu ingine. Wale ni favorites wa ndoo.Wawaache tu wasiumie, Kama Ghana napenda watoke mapema
Sio Argentina?Hili la Ghana muhimu sana, ila Brazil national team ni kitu ingine. Wale ni favorites wa ndoo.
Namkubali Sana akitokea pembeni ,namuona atafanya vizuri sna kwenye eneo
analocheza ødegaard.. ukizingatia balance
ya timu hasa ikiwa inajilinda.
Hata yeye, France etc...Sio Argentina?
Tatizo dogo kaanza kupata injuries mapema sana sijui kama atafika mbali licha ya ubora alionao ,hata last season kabla ya injury hii kubwa alikuwa hakosi mechi 1 au 2 bila kwenda hospital may be akirudi Mungu amsaidieSmith Rowe returning for the #Arsenal in the New Year will feel like a new signing!
View attachment 2409010
Bila ya kuongeza watu, kombe ni ngumu kubeba. Mbio bado ndefu, tunahitaji wwachezaji kama wawili wa3 hivi, very serious na wamepevuka kisoka.Hatukuwa na matumaini ya kuwa EPL winners but kwa Top 4 ilikuwa ni suala la lazima kwa sasa tumeachana na top 4 tunatafuta ubingwa na tupo very serious na hilo kwa sasa so let's hope kwa hili
Sijui kwanini, namuona atakuja ishia kama fundi jack wilshere. 😔Smith Rowe returning for the #Arsenal in the New Year will feel like a new signing!
View attachment 2409010