Kuna unyama humo, Arteta Ni mkali SanaRaha sana, ngoja nimalizie episode ya 3 ya All or Nothing Arsenal
Ndugu labda wewe hukuwa na matumaini, Kuna Hadi space tulifanya Twitter ,Mimi nilisema kabisa Msimu huu Tunagombea ubingwa ,na hata humu Kuna Makala zangu nilisema hivo,Hatukuwa na matumaini ya kuwa EPL winners but kwa Top 4 ilikuwa ni suala la lazima kwa sasa tumeachana na top 4 tunatafuta ubingwa na tupo very serious na hilo kwa sasa so let's hope kwa hili
Mmh Mbona ilikuwa wazi kabisa inaonesha hi timu inaelekea wapiKweli, Hata Mimi sikutegemea kama timu itaimarika kiasi hiki!... Tukiongeza wachezaji wawili au watatu january, HAKIKA tunabeba ndoo
Katika watu wanaomeamini Arteta na wachezaji wetu Mimi ninamba Moja.. kiukweli timu imekuwa inaimprove Kila Msimu.. wakati Msimu uliopita unaisha nilijua Msimu huu Tutakuwa kwenye top three, sikuwazia kuwa tunaweza kumtisha Hadi Guadiola Msimu huu.. Lakini timu ilivyoimalika Msimu huu ni hatari sana, hii yote imechangiwa na ujio wa Jesus, zinchenko na kuimarika Kwa Xhaka, martinelli na Saka.. kiukweli Martinelli na Saka wameimprove vibaya mnooooooo!.. yaani wanatisha balaa.. Beki yetu ilikuwa nzuri Msimu uliopita lakini Salina kaibadilisha sana timu huko nyuma, jamaa ni mtulivu, Hana papara na anajua kuusoma mchezo.. Kikubwa ninachoona na ambacho nina uhakika nacho Msimu huu ni kuwatunachukua ndoo.. Nimeanza kumuwazia sana yule bwana aliyetabiri kuwa Arteta atabeba ndoo ya EPL mwaka wake wa tatu.. Hakika Arteta anabeba ndoo Msimu huu... Hongera sana bro!.. umekuwa unatutia matumaini sana kwa chambuzi zako murua kabisa.Mmh Mbona ilikuwa wazi kabisa inaonesha hi timu inaelekea wapi
Hata Sasa Kuna madirisha Kama mawili hivi itajaa Quality kila eneo
Kama kila Mechi ukiwa mtu wakuangalia mabaya na kutukana wachezaji, huangalii progress Ni ngumu kujua timu ilikuwa wapi na ipo wapi
Kwamba tumemtanguliza Malkia ili tubebe EPL 😂Isemekana wamemtoa kafara malkia ili wapate ubingwa
Arsenal muwe bingwa, bado sanaUnaambiwa hawa arsenal wanatawala ligi ya mfalme kwa mabavu
pia inasemekana wamemtoa kafara malkia ili wapate ubingwa
Kwahiyo Bingwa atakuwa yule aliyefungwa na Aston villa Jana bao 3?Arsenal muwe bingwa, bado sana
Mtupe kombe letu mapema Viva gunners
COYGNileteeni man shit hata kesho huu ubingwa wa kwetu hatuachi kombe lolote mbele yetu COYG
Mtupe kombe letu mapema Viva gunners
COYGNileteeni man shit hata kesho huu ubingwa wa kwetu hatuachi kombe lolote mbele yetu COYG