Huyo jamaa ni fundi sana, mpeni muda aonyeshe maajabu yake.Jesus confidence imeshukaa baada ya kukaa mda hajafunga , hope game na chelsea ataingia kambani. Nketiah hapana huyu asepe tu hana maendeleo yoyote yupo toka kipindi cha wenger lakini hamna anachofanya. Msimu uliopita mwishoni nikajua labda amefufuka mpaka new deal akapewa. Kina saka, martineli wamemkuta now wapo level ya mbali kuliko yeye. Huyu Nketiah hakuna kumpa muda asepe tu japo ametoka kutia signature juzi juzi[emoji38]
Sisi pia tulishawahi kuwalamba sita, mnabisha? Bisheni kesho tuwalambe nyingine.Mara ya mwisho nani alimlawiti mwenzake?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Tulimaliza pakti 1 na tukafungua ya pili,
View attachment 2407339
Hii ni motivation kwetu. The racing is getting even more interesting now.Dah.. Jioooni wanapata, hii ni habari mbaaya saana kwetu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kumbe mwatuombea msiba eeeeh! haya acha kesho uwapate kwa ghafla.hawa fulham ni waseng3 sana
dah unatuombea kufungwa mwanangu
#Tutapambana kushinda NIA TUNAYO NA UWEZO TUNAO
Nyumbu kama Nyumbu kwenye ubora wakoMkitaka mpendwe mpunguze matusi na jeuri.
Hakuna mzazi yoyote anaelipenda litoto litukutu.
NyumbuHivi Will Jr mbona haonekani siku hizi?
Au ndio ameenda kuungama na kutubu dhambi ya kumsema Partey ana Ziro IQ?
Mwanangu Will Jr wewe ndio hua unalichangamsha hili jukwaa kwa matusi.
Tunakuomba tafadhali tupo chini ya miguu yako usilikimbie jukwaa la mabingwa watarajiwa wa Europa, Epl, FA, Carabao na CECAFA.
sinaga muda na shabiki wa man city[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kumbe mwatuombea msiba eeeeh! haya acha kesho uwapate kwa ghafla.
Upo kama digidigiDah noma sana..nyie arse8 tutawashangaza