Hiki ndio tunakihitaji zaidiKwa Historia yake aliyopitia ,kukataliwa na man u,Barcelona , kule Italy,akaamua kurudi Brazil , Edu akamwambia tangulia Arsenal nakuja January , Amefika arsenal akathaminiwa
Alishasema yupo Sana Arsenal
Sawa na Smith Rowe Mtoto wa nyumbani alishasema muda wowote Leta mkataba anasaini
kidogo nimejaribu kumuona kama game 4 hivi ni mkabaji mzuri na anajua kupeleka team mbele vzr mno.....shida ni moja tu kuna muda huwa anajizima data anacheza rafu za haovyo mnoArsenal are serious about signing 21-year-old Palmeiras defensive midfielder Danilo, who has been subject of extensive scouting. Edu is behind the club’s interest. [@RyanTaylorSport] #afc
Hawa watu ndio wanahitajika,kidogo nimejaribu kumuona kama game 4 hivi ni mkabaji mzuri na anajua kupeleka team mbele vzr mno.....shida ni moja tu kuna muda huwa anajizima data anacheza rafu za haovyo mno
anakula sana umeme dogo ila umri wake na uchezaji wake anafundishika na tabia zinabdilika...
mm nimetokea kumkubali kwanza ni mtata sio mnyonge yani yule ni xhaka mara 2 kwenye kuvaa ugomvi
View attachment 2405419
Ha haaaaaaa huyo ndo mtamukidogo nimejaribu kumuona kama game 4 hivi ni mkabaji mzuri na anajua kupeleka team mbele vzr mno.....shida ni moja tu kuna muda huwa anajizima data anacheza rafu za haovyo mno
anakula sana umeme dogo ila umri wake na uchezaji wake anafundishika na tabia zinabdilika...
mm nimetokea kumkubali kwanza ni mtata sio mnyonge yani yule ni xhaka mara 2 kwenye kuvaa ugomvi
View attachment 2405419
Kule kwenye jukwaa lenu umechoka kujiongelesha ,unazurura Sasa kutafuta engagement humuDogo wa miaka 17 tayari ana goli la CL kuzidi kikosi chote Cha arsenal ....View attachment 2405594
Hao jamaa wenye hilo bango sio wa rainbow [emoji304] hao, achana nao hao good look inahusiana vip na mpiraHivi bila Arteta kuja Arsenal ,huenda leo Saka angekuwa beki wakushoto akisaidiana na kina Tierney
Martinel angekuwa loan ,au mchezaji machachari tu
Xhaka asingekuwa arsenal
Kiungo tungekuwa na kina Guendouz ,
Nilichojifunza hata Pep anatakaga Kwanza wachezaji wenye kipaji then anawaongezea vitu vya ziada kutoka hapo walipo
Ukiwasikiliza kina Sane, Sterling, Zinny, Jesus ,Kdb, n.k Kuhusu Arteta pale city alivyokuwa anafanya nao kazi ,utaelewa Sio kwa bahati mbaya kuwaona Hawa Watoto kina Smith Rowe, saka , Martinell
Ukiangalia Odegaard aliyekuwa Madrid na sociedad alikuwa talented but alikuwa havutii Sana hata alipokuja mkopo arsenal , alifunga goli 1 Kama sijakosea , Lakini Baada ya mkopo ilionekana hatarudi Tena Arsenal , na hata Alipotajwa ananunuliwa rasmi ,kulitokea mgawanyiko mkubwa kwa fans
But Odegaard huyu Sio Yule Tena
MIAKA MITATU ILIYOPITA TAKWIMU ZA BUKAYO
Bukayo Saka’s stats per position:
•Left wing: 18 games, 2 goals, 5 assists.
•Left back: 16 games, 1 goal, 4 assists, 7 clean sheets.
•Right wing: 5 games, 1 goal, 2 assists.
•Central midfield: 1 game, 1 assist.
His adaptability for an 18-year old is incredible.
View attachment 2405711
Kuna dalili gan hapo hao jamaa Ni wa upinde?Hao jamaa wenye hilo bango sio wa rainbow [emoji304] hao, achana nao hao good look inahusiana vip na mpira
Sent from my TECNO LC6 using JamiiForums mobile app
Utanenepa vipi kiungo Fred na tominayDah, ila humu ndani mumenenepa sana.
unatamani tukondeDah, ila humu ndani mumenenepa sana.