Baada ya saka kuumia game imekua mpya, em wakakae kikao na nelson aisee, tukishambulia neslon anaingia ndan anamuacha white pemben, inafanya uwanja unakua mdogo
Saka alikua anabaki pemben kule na dribbling ability yake wakimfuata wawil anaaccha mianya mikubwa kwa ordegaard na partey kati kat, na white anakua nyuma yake
Asa nelson anataka kuingia kati amuache white pemben, tunakua tunakabika kirahisi