City ana wachezaji wangap?
City asilimia 80 wachezaji wake Ni hao hao ila wengi versatile TU
City mech na man u hakuwa na Rodri, DM anacheza Gundo akisaidiana na Bernado,
City na Arsenal Wana squad ya wachezaji 24 tu ukilinganisha na man u au Chelsea au Liverpool wenye squad ya wachezaji 30-31
Arsenal wapo karibu Sana kuwa na quality kila eneo
Soon akija winger anayecheza Nafas 3 na kiungo anayecheza Nafas 2-3 tunafunga hesabu
Kwasasa tuna upungufu wa quality eneo la DM & CM hapa analetwa mtu anayeweza kucheza Nafas zote mbili,
Niliuliza swal Kwan Pepe ana ubaya gan wakuwa backup player? Pepe Hana tofaut na Anthony wa man u
Ila Arteta alisema Arsenal haipo Tena kujaza lundo la wachezaji wasio na Quality
Baada ya kumkosa Raphina hawakutaka Tena kuokotaokota wachezaji kisa Ni winga aje TU