Arsenal (The Gunners) | Special Thread

fixture iko tight sna.. wale wa kuingia sub hawaonekani kufanya vizur kwnye mfumo w arteta kusaidia timu.

odegaard + saka + GM6 + partey + GM11 + xhaka ;hao players kwa namna arteta anavotaka timu yke icheze ;wamekosekana wachezaji wengine sahihi wa ku wa replace during games or before games.
 
Sasa mtaanza kunielewa wakuu.

Tulianza poteza script tulipoanza zile moja moja, leo ndiyo imekua dhahiri sasa.
Arsenyoko wameanza kurudi kwenye default mode.
Hii ndio Arsenyani tunayoijua siku zote.
Jana mlistahili kushonwa goli 5 - 0
Muda wa kuanza kutafuta visingizio ndio tayari umeshawadia.
Ila Xavi fundi sana aiseee, jana alijua kumdhalilisha Salima.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…