Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal ilishika nafasi ya 17 na 14 kwa dribble zilizokamilishwa katika isimu miwili iliyopita ya PL lakini sasa wanaongoza kwenye viwango vyao msimu huu.




Katika misimu miwili ya mwisho, Laca alikuwa na wastani wa dribble 1 kwa kila dakika 90 huku Auba akiwa na wastani wa 0.5 & 0.2 katika kipindi hicho.


Kinyume chake, Jesus & Martinelli wote wamekuwa na wastani wa kufanya dribbling 2.4 kwa kila dakika 90 kwenye PL msimu huu.


Wapinzani wanapohitaji kuwafata (saka Martinell na Jesus), hawawezi kumudu kuwafata 1v1.

Jesus, Martinelli au Saka wakipata mpira mara nyingi hufatwa na mabeki 2-3 wakiwajia juu yao, hivyo huacha Nafasi/half space kwa wachezaji Kama xhaka na Odegaard.

Partey & Odegaard wanapitisha Sana mipira kwenye hizi nafasi/half space, huku Xhaka akiwa katika jukumu lake la juu zaidi.

White, Gabriel na Saliba pia wanapiga mipira kwa washambuliaji .

Arsenal wana njia za kuendeleza mchezo ikiwa wapinzani watakata njia za kupita.
 
Auba's greatest weapon is his pace and finishing, but in his last days at Arsenal he was no longer deadly in front of goal, we just had to move on.

Against Man Utd Auba hooked 19 touches in 74 minutes of football, 4 completed passes (44.4% accuracy)
 

Nafasi ya Saka haina pengo, Maquinhos is as good as Sska
 
Gemu ya leo naiona kama ina kaugumu fulani. Tukimkafua Southampton leo nitafurahi saana.
 
Same EPL lineup let’s hope for the better. I am happy Kyle-Walker Peters is missing and Djenepo benched so is CHE Adams
 
Hao wengine 0-Arsenal 4

Arsenal ndoo
Haaland kiatu
#COYG
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…