Haya naomba na wewe utambue hivi, Yvone Bissouma alikuwa kwenye list ya wachezaji wanaotakiwa na Arsenal kwa dirisha lililopita, ni Spurs tu ambao wali rush kumaliza dili wakijua watambania Arsenal- nasema hivyo kwa sababu Spurs haikuwa na haja sana na Bissouma maana wana viungo wengi kama yeye: kuna huyo Bentancur, Hojgberg na Skipp. Maybe angewapa other options kama box-to-box mana mara kadhaa alikuwa akifanya hivyo kipindi yupo BHA huku Alzate akiwa kama DM.Ok elewa hivo, but Bissouma kwa £25m alisubiri ofa ya arsenal na top clubs zikamchunia ,mwisho mezan akawa na ofa moja tu kutoka Spurs
Akaona aende, na bado anasugua bench mbele ya bentacur na hoijeberg.
Top clubs zinaachana na viungo wagumu , hata Chelsea waliacha kumtumia Kante Kama DM msimu wa 5 huu ,
Top clubs hazitegemei Tena ziwe na mtu maalumu wakukaba ,Zina defend kwa unit na structure maalumu .
Viungo wakabaji utawakuta middle teams ,
Mfano kilichomtokea Spurs against United , 3DMs vs 1DM akazidiwa dk zote 90
We ulishawahi kusikia tetesi zinazomhusisha Fabio Vieira kutakiwa na Arsenal?Over my dead body, hata tetes umeshazisikia?
Bissouma ulimtaka wewe labda na mashabik wenye mihemko , Bissouma had dk za mwisho anasema aliisubiri Arsenal had akachoka mwisho akaona aende SpursHaya naomba na wewe utambue hivi, Yvone Bissouma alikuwa kwenye list ya wachezaji wanaotakiwa na Arsenal kwa dirisha lililopita, ni Spurs tu ambao wali rush kumaliza dili wakijua watambania Arsenal- nasema hivyo kwa sababu Spurs haikuwa na haja sana na Bissouma maana wana viungo wengi kama yeye: kuna huyo Bentancur, Hojgberg na Skipp. Maybe angewapa other options kama box-to-box mana mara kadhaa alikuwa akifanya hivyo kipindi yupo BHA huku Alzate akiwa kama DM.
Kuhusu kusugua benchi Spurs sishangai kwa sababu kila kocha ana namna yake ya uchezaji. Mfano mzuri ni Pulisic wa Tuchel na huyu Pulisic wa sasa wa Potter, ni watu wawili tofauti.
Halafu fans wenzangu wa Arsenal sometimes tunafurahisha sana, kwa mfano huyo Bissouma wakati yupo BHA kila mtu alikuwa anataka asajiliwe, na alivyoenda Spurs watu waliumia sana. Eti leo yupo Spurs ndo wanamuita mvunja kuni!
Haya naendelea kujiuliza hapa, umesema viungo wakabaji wapo middle teams tu? Hivi Fabinho 🤔..... au basi nisiendelee.
Basi kitu ambacho ulikuwa hujui ni kwamba ilikuwa asajiliwe DM kisha Lokonga atolewe kwa mkopo.Bissouma ulimtaka wewe labda na mashabik wenye mihemko , Bissouma had dk za mwisho anasema aliisubiri Arsenal had akachoka mwisho akaona aende Spurs
Arsenal dirisha hili hawakuwa na mpango wa kusajiri DM had alipoumia elneny wakamtaka dogras Luiz
Fabio vieira ni type ya wachezaji wa Arteta , hata usiposikia tetes ,angekuja mchezaji type yake sio hao mnaowalilia Wakati hawaendan kabisa na timu inavyochezaWe ulishawahi kusikia tetesi zinazomhusisha Fabio Vieira kutakiwa na Arsenal?
Ulidanganywa na Nan ,Arsenal hawajawahi hata kutuma ofa kwa Bissouma ambaye alikuwa anapatikana kwa £25mBasi kitu ambacho ulikuwa hujui ni kwamba ilikuwa asajiliwe DM kisha Lokonga atolewe kwa mkopo.
Naona umeamua kukaza kichwa mkuu.. sichangii tena maana nitakua nafanya kazi ya kurudia maneno yale yale over and over.Fabio vieira ni type ya wachezaji wa Arteta , hata usiposikia tetes ,angekuja mchezaji type yake sio hao mnaowalilia Wakati hawaendan kabisa na timu inavyocheza
Kuna Danilo, Tieleman, locatell ,Caicedo hao wanatajwa Sana
Sio hao mnaowalilia mlishajiuliza watacheza wapi,
Huyo Bissouma Kama Spurs anachezea bench TU, Arsenal angefanya nn inayotaka ku control mchezo
Utaeleweshwa Huyo Bissouma ulimtaka wewe kama mlivyomtaka Buendia ,n.kNaona umeamua kukaza kichwa mkuu.. sichangii tena maana nitakua nafanya kazi ya kurudia maneno yale yale over and over.
Game ilikuwa nzuri tulitawala mwanzo mwisho, nafasi zilitengenezwa nyingi, nketiah alikosa za kutosha, Jesus pia alikosa ,saka two chances alikosanaombeni analysis za jana skucheki game
May be itakuwa uchovuGame ilikuwa nzuri tulitawala mwanzo mwisho, nafasi zilitengenezwa nyingi, nketiah alikosa za kutosha, Jesus pia alikosa ,saka two chances alikosa
Mech ilikuwa ya upande mmoja, tungeweza kushinda hata 5 ,
Wachezaji waongeze ufanisi mbele ya goli
Kazi ya tomiyasu ni kushusha bei za winga hatari na kuwafanya waonekane wote ni kama ishowspeed
Kuongoza kundi kwa sasa haina mjadala. Hatuwezi kosa pointi 2 katika mechi hizo 2.Tunahitaji point moja dhidi ya psv ili tuongoze group
hii itasaidia kupunguza idadi ya mechi moja ya wale wanotoka ucl
pia wachezaji muhimu watapumzika kabla ya kukutana na cheltako