Ushindi huambatana na bahati, imagine Leeds leo wamepata penalty, pamoja na kutukosa zaidi ya mara tatu lakini mwisho wa mechi tumeondoka na alama 3 muhimu.
Huenda Mungu Kuna kitu ametuandalia wana Arsenal Msimu huu, let's keep hoping
Sio kila siku lazima tucheze vizuri.Makosa tuliyofanya leo kwa Halaand tungeokota sana kunyavu
Kwa kweli tumepelekewa pumzi ya moto Leo kikubwa tumeshindaLeo tumecheza kama manyumbu.
Ni vile tu malaika walikua upande wetu.
Mnona stats zinaonyesha game ilikuwa even? Mimi sijaangalia hii game...
Second half imeleta stats hizi MkuuMnona stats zinaonyesha game ilikuwa even? Mimi sijaangalia hii game...
Huo ndio ukwel,
Aibu gani?!Mechi ya Bodo ilitakiwa ituashirie kwamba tunapotea, ya leo imeconfirm kwamba tunapotea.
Ni aibu kiukweli.
Yaani Leeds kaongeza shots, possession na potential dangerous move simply kisa ananyang'anya mpira kutuzidi na anafanya purposive movements kutuzidi? Na yuko 15th sisi ni wa kwanza?
Arteta atafute dawa kabla hatujaharibu zaidi ya performance ya leo na iliyopita.
Upuuzi.
Nakubaliana na unachosema ila sio kwamba makocha wameanza kumsoma Arteta cuz mpira huwa unachezwa open, kwenye soka ukiwa na elite structure + top technicians then you're unstoppable, kwenye scenario yoyote ile lazima kutakuwa na free man on the pitch, so lazima timu itabeat press yoyote kirahisi.kipindi cha kwanza tuli control mchezo kwa kiasi flani ila 2nd half kocha wa leeds alimsoma vizur arteta.. ni vile wachezaj wa leeds tu wamekosa bahati n ubora.
arteta makocha pinzani wanaanza trtibu kumjulia namna y kucheza nae..