Arteta ni MKATILI
hiki kikosi ni size ya Liverpool ambae alipokea fimbo za kutosha
City ambae nae lazima atapigwa tu
Nilitegemea leo nimuone Nketiah, Fabio, Tierney,
Anyway, anaekufa acha afe
Tena leads walivyokua na mchezo wa kufunguka funguka, leo watavutishwa pumzi ya moto, walai vile
Full time; arsenal 7 leads 0
Baada ya kuona kikosi
Haaland kiatu
Arsenal ndoo
View attachment 2389053