Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Ikumbukwe Bodo wameshinda mechi 14 za nyumbani za Ulaya mfululizo.

Huu si mchezo rahisi kwa vyovyote vile.

Kuongoza kundi kutafanya kuepuka mechi mbili za ziada baadaye za raund 32, hivo Anayeongoza kundi anasubiri round 16 .

Si jambo la kushangaa sana kuona Arteta akipanga kikos cha nguvu kuliko wengi wetu tulivyotarajia.
 
timu inapokuwa uwanjani ndio utajua inachezaje.. taratibu tutaanza kuondoka kwenye mifumo ya kinamba tuliyoizoe kwa jinsi mpira unavyo kuwa kw kasi.
 
Leo ni tofauti, Arteta kaamua kuanza na back 3.
Hapana hizo app wanajiandikia

Arteta alishaondoka huko kwenye mifumo ya beki wa tatu

Saliba anacheza LCB

Subiri mech ianze utaona Tierney anaingia ndan kuwa CM,

Ni role ambayo ameambiwa ai adapat,

timu inapokuwa uwanjani ndio utajua inachezaje.. taratibu tutaanza kuondoka kwenye mifumo ya kinamba tuliyoizoe kwa jinsi mpira unavyo kuwa kw kasi.
Yah hapo Ni majukumu TU, Fabio vieira na Odegaard kaz zao kushambulia half spaces
 
HAWA JAMAA UWANJA WAO NI NYASI BANDIA , WENGI WAKIENDA HAWATOKI
Bodo/Glimt have won all of their last 14 home matches in Europe. They have scored 42 goals in those games, and conceded just five. Artificial pitch, north of the Arctic Circle: not the easiest place for away teams #AFC
 
Today tunachafua record tunaangalia game huku tunamwagilia moyo point 3 na uongozi wa kundi tunausubiria

Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
 
yeah mpira siku hizi ni role sio namba
timu inapokuwa uwanjani ndio utajua inachezaje.. taratibu tutaanza kuondoka kwenye mifumo ya kinamba tuliyoizoe kwa jinsi mpira unavyo kuwa kw kasi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…