Arsenal (The Gunners) | Special Thread


Seems you are losing the track, sina hakika kama unajua undani wa unalolitetea
 
Haya maneno tunatumiaga kwa watu ambao sio washabiki wa Arsenal mkuu,mnawekana sawa na shabiki mwenzio wote wanafamilia moja ya nini kutupiana maneno makali?INASHANGAZA SANA


Tusifike huko huu ni mpira tu.
 
Mkuu wewe huwa ni mbishi na mimi huwa nasimamia nachokiamini so close the chapter hatutafikia muafaka let's focus na game ya leo bro

Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
 
Namtetea Pia Gabriel, he is a fighter, anasaidia sana timu, makosa yake ni ya kibinadamu. Mashabiki Are forgetful. Naamini with time, he will improve, you cannot dispose of such an aset. Let us be patient.
Kitu mnachokosa wengi kuelewa ni kwamba defender sio tu kuwa fighter, ingekuwa hivyo hata Mwamnyeto/ Mwantika wangecheza Arsenal. Kitu anachokosa Gabriel na tuliongea toka mwanzo ni uwezo wa kuusoma mchezo, kuwa calm and confident kwenye chaotic Situations. Utulivu wa Saliba unatosha kumuelezea Gabriel.

Hakuna anayesema Gabriel hato-improve, potential anayo lakini itamchukua muda, na muda wa kuvumilia mchezaji haupo cuz tunahitaji makombe sahivi.
 
Gabriel ni defender ambaye anaicost team (sio beki mbovu ni beki mzuri wa kawaida) na hata sasa hivi kapoteza nafasi yake Brazil
bahati nzuri Arsenal ya sasa ina fighting spirit si kama miaka ya zamani Refer games za Fulham Spurs Liverpool hata boko likitolewa team bado itaamka na kutafuta points na hili imefanya team yetu ionekane ni tishio kubwa kwenye ubingwa wa EPL tungekuwa na spirit kama hii last season tungekuwa champions league no doubt

Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
 
I like it
 
Kuna Kocha bhana alilalamika Sana hii ya Arteta kuendelea kutoa maelekezo kila mpira unaposimama
Tafsiri nyingine kocha anaongea na kocha msaidizi (xhaka)
Sometimes arteta anamuuliza maswali nini kifanyike na sio kumpa "order"

Arteta na bench wanausoma mchezo wakiwa nje
Xhaka anausoma mchezo akiwa ndani

Mpira ukitoka tu, wanabadilishana madesa fasta, mzigo unaendelea kupigwa
Sasa kwanini mtu asife hapo?

maji wataita mma, ngojeni tu

Haaland kiatu
Arsenal ndoo
 
English Premier league big six


1) Arsenal
2) Chelsea
3) Liverpool
4)Man City
5) Man United
6) Tottenham


1️⃣The test against Arsenal

1) Man United ❌
2) Tottenham✅
3) Liverpool ✅

Remaining 2022 fixtures

1) Chelsea❓
2) Man City❓

2️⃣The test against Man City

1) Man United✅✅


Remaining fixtures

1) Liverpool❓
2) Chelsea❓
3) Tottenham❓
4) Arsenal❓

3️⃣The test against Man United

1) Arsenal ✅
2)Man City❌
3) Liverpool✅

Remaining fixtures
1) Chelsea❓
2) Tottenham❓

4️⃣The test against Chelsea



Remaining fixtures
1) Arsenal❓
2)Man City❓
3)Man United❓
4) Tottenham❓
5) Liverpool❓

5️⃣The test against Tottenham!
1) Arsenal❌


Remaining fixtures
1) Man City❓
2)Man United❓
3) Liverpool❓
4) Chelsea❓

6️⃣ The test against Liverpool

1) Arsenal❌
2) Man United❌


Remaining fixtures
1)Man City❓
2) Chelsea❓
3) Tottenham❓
 
KUNA ARTICLE KUHUSU GAB MAGALHAES ,

I see so many criticisms being leveled at Gabriel Meghalaese because of a couple of blunders from the defender, and many calling for him to be benched for White or someone else.

What you all fail to realise is that Gabriel is tasked with the hardest job across the defense. He's the one moves across the whole backline and sometime moves into midfield, tackling and covering for everyone who has moved up the pitch and out of position.. While Saliba is the sweeper who stays calm, reads the game and blocks channels alongside clearing lose balls.

Gabriel's job is the most difficult work to do and when u have to do so much running and make so much tackles, mistakes are bound to happen.. unlike Sweeper defenders like Saliba and VVD which is also while they tend to make less mistake.

Make no mistakes, Gabriel has room for improvement, but he's currently doing a very good job.. White cannot pair with Saliba because they're both the same type of defenders. Gabriel is pivotal, that's why he plays both EPL and Europa, without a rest. Y'all give this guy some respect.
[Ken Sylvester]
 
Hii kitu ipo vizuri sana kilio chetu cha big 6 kuwin ndio hichi na hao Manchester United inauma sana kutuharibia results zetu anyway Chelsea lazima afe no matter what

Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
 
Hii kitu ipo vizuri sana kilio chetu cha big 6 kuwin ndio hichi na hao Manchester United inauma sana kutuharibia results zetu anyway Chelsea lazima afe no matter what

Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
Safari hii hata mancity ajiandae,

Zile performance mbili dhidi ya Liverpool and mancity round ya 2 pale Emirates ilikuwa onyo

Kama mancity alikuwa forced sana kukaa nyuma pale Emirates kabla 2nd half Martin antkson hajatunyima penalty na kutupa red ya kipuuzi, city alishaelekea kibra
 
Said it all....
 
Arsenal team

Starting XI: Turner; White; Holding; Saliba; Tierney; Lokonga; Vieira; Odegaard; Saka; Nelson; Nketiah

Subs: Ramsdale; Hein; Tomiyasu; Gabriel; Cedric; Partey; Xhaka; Martinelli; Marquinhos; Smith; Ibrahim; Edwards
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…