Xhaka hajawahi kuwa mbaya , xhaka alikuwa anachezeshwa out of positionNa timu nyingi hua zinamtageti sana yeye kwenye ile backline yote ya arsenal, mara zotr hua nasema hawez kubadilika hata iweze miaka miwili nyuma alikua yeye na Xhaka ila saiv kabaki yeye asiyeweza kubadilika
HamunaKweli ..basi inaoneoana wako vizuri. Ila ata iyo Roma ishajichokea hamuna timu pale..
Kama angekuwa hakosei hii sapoti ya nini,Halafu mpo busy mnasema Gabo anafanya makosa ya kawaida, hapo anapata support kwa vile the whole team is performing well, ingekuwa hakuna matokeo Gabi angekuwa victim mkubwa sana.
Tunabeba zte 15Katika mechi 5 zinazofata ,unaona tutabeba ngapi
View attachment 2384618
Nafikiri kwake yeye kuwa kikosini ni uhakika. Labda asiwe starter. Hustler kama yeye ni adimu sana hivyo lazima awepo kikosiniYeah Jesus akomae zaidi ili asikose WC na Brazil.
Juzi kati waliwaacha.....what happened over there?Nafikiri kwake yeye kuwa kikosini ni uhakika. Labda asiwe starter. Hustler kama yeye ni adimu sana hivyo lazima awepo kikosini
Friendly match zisizo za lazima. Wote humu walifurahia maana tuliwahitaji. Zile performances zao na Arsenal zinawabeba vizuri tuJuzi kati waliwaacha.....what happened over there?
ARSENAL ina big player yupi kwa sasa?Auba hajakosea but inawezekana Arteta anaweza kuhandle players kama wa sasa wa Arsenal na team ikapata results unafikiri kuhandle big players ni easy?refer to Ten Hag kwa Ronaldo anavyopata tatizo au coach wa PSG kwa sasa so which is which?Auba hajakosea but for my opinion ni heri uwe na team ya kawaida kama yetu unaweza pata good results last season tumekuwa namba 5 you never know what is going to happen this season so wote wanaomsema Auba ni wapumbavuAntonio Cassano kuhusu Auba kumsema Arteta:
“Sasa Aubameyang anathubutu kusema kwamba Arteta hajui jinsi ya kushughulikia wachezaji wakubwa, Aubameyang anajiona kuwa bingwa? .
“When Arteta took Arsenal, in a general disaster, there were many players among that and he was there too. Try to play football instead of talking about Arteta, who is first in the most important league in the world. For me, it’s madness.” #afc