Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal goal involvements so far in 22/23

9⃣ - Jesus (5g + 4a)
7⃣ - Saka (3g + 4a)
6⃣ - Martinelli (4g + 2a)
5⃣ - Xhaka (2g + 3a)
4⃣ - Odegaard (3g + 1a)
Hapa Jesus achangamke kidogo asipigwe gap kubwa sana na lile jini la Norway linalotaka kuchukua kiatu hata nusu msimu hatujacheza. Odegaard naye apambane kuongea assists maana yeye si ndiye creator-in-chief wetu?
 
Hapa Jesus achangamke kidogo asipigwe gap kubwa sana na lile jini la Norway linalotaka kuchukua kiatu hata nusu msimu hatujacheza. Odegaard naye apambane kuongea assists maana yeye si ndiye creator-in-chief wetu?
Yeah Jesus akomae zaidi ili asikose WC na Brazil.
 
Gabriel n fighter na hoja hii niliizungumza sana kumtetea kipindi kile kina Will jr wana leta hizi tuhuma kwa mara ya kwanza,

Jamaa style yake ya uchezaj n muhimu sana kuwepo kwenye timu na ukiangalia pale Arsenal labda holding ndo anafanana nae kidogo, lakin sio White na siombei kabisa combo ya Saliba na White Kama ambavyo wengi wanavyo taman humu, pata vuja watu hawata aamin mechi mbili tu watu watamkubuka Gab,
Juma pili nilitoa pendekezo kama hili lako kwamba labda hyo namba awekwe Tomiyasu pengine likawa suluhisho bora kuliko white. white abaki kulekule mbili ndo kume mpendeza

Gabi n kwel sahv anavuja sana na ametuchoma sana uo n kweli haina haja ya kuufunika lakn n mchezaj anae kua, na ana sifa zote za kuja kua mchezaj nguli tunahitaj kumvumilia,
ikiwezekana Arteta aanze kumbench ili alifresh, Tomiyasu ama Holding wamkaimu kwa mda au turud kwenye back three mpaka Jamaa atakapo rudisha ubora wake
 
Kumbench hapana, ndo atakuwa chujio kabisa, atakosa kujiamini tena.
 
Kuanzia msimu wa 2024/25 UEFA itakuwa inatumia coeficient factor kushiriki UEFA, hii ya top 4 itakuwa haina kazi tena
So timu zenye coefficient ndogo mtaisikia UEFA kwenye redio tu
Unajua lakin UCL wanavyozihesabu hizo coefficient? Au unadhan wanaangalia kucheza UCL TU?

Katafute list average ya coefficient kwa miaka mitano ambayo UEFA walisema wataitumia uangalie
 
Hapa Jesus achangamke kidogo asipigwe gap kubwa sana na lile jini la Norway linalotaka kuchukua kiatu hata nusu msimu hatujacheza. Odegaard naye apambane kuongea assists maana yeye si ndiye creator-in-chief wetu?
Uchezaj wa Jesus ngumu kupambana na Lile roboti ,epl nzima hakuna wakumfukuzia

Jesus Sio natural CF , ndio maana unamuona ana operate flanks zote
 
Mashabiki Siku zote wanatafutaga weak point ,

Kuna most wanataka acheze White na Saliba pale Kati , wanasahau Arteta Sio muumini wa Kucheza bila LCB ,
 
Tatizo lake Ni mzito na Sio mzuri kwenye tackle , na ndiye no.5 wetu .

Sasa mashabiki wanataka asicheze, Wakati mfumo wake mwalimu unamuhitaji yeye,

Arteta hawez kucheza bila LCB ,Sawa na Pep ana Larpote na kina Diaz

Hawez kucheza bila LCB, Kuna sababu maalumu kabisa kwann wacheze na LCB
 
Gabriel mzee wa kazi chafu, mtu wa kupambana na zile forwards sumbufu

Ile Chelsea forward Diego costa au drogba
Bila kuwa na mtu kama Gabriel pale nyumba, mtaita maji mma

Au haaland inabid Gabriel afanye kazi yake,

Hauwezi kumuweka holding hapo kama Gabriel ni mzima, ni kichaa atakae Fanya maamuzi hayo (magufuli voice)

Kumbukeni Juve anamvizia huyo huyo mnamuona ana makosa
Ambapo ukiulizwa central defenders ambao hawana makosa jibu hakuna

Ipo hivi
jpili tunaamia Liverpool kwa mkopo

Haaland kiatu
Arsenal ndoo
 
Kugombea city asimamishwe Ni vzr, sidhan hata kama wao walitaka Liverpool afungwe,

Kwa ratiba yetu ilivyo tuna nafasi 90%kuongoza au kukaa 1-2 ,had mwezi wa 1 , round ya Kwanza ratiba ngumu ilikuwa mwez huu October


Roond ya 2 ratiba ngumu ipo April , so Kuna asilimia kubwa tukaenda nafasi 1-2 had March

Malengo nikumaliza nafasi 1-2 mpaka January ambayo Tutakuwa na room ya kuongeza wachezaji wawili au mmoja eneo la Midfield,

Most of players wa Arsenal Wakati Wana recruit walizingatia Versatility ,

Ni eneo moja tu ndio Lina tatizo nafasi ya Partey ambayo January ,tutamrudia Douglas Luiz pale Villa

Kwahiyo sisi lazima tumuombe Liverpool amvute hata sare city,
 
Tulikuwa na LCB Pablo Mari anakabia macho ,

Holding quality ndogo , ona alichofanya kwa Son msimu uliopita


Holding yupo pale Arsenal kutumika pale Arteta akitaka kucheza LOW BLOCK akitumia hasa 5-3-2

Holding kwa Arsenal hii huwez kuanzisha umuache njee Gabriel magalhaes,

Arsenal inafanya buildup na wachezaji unakuta wawili ,beki zinatanua , Sasa upande wa Gab ili apige pass anatakiwa awe comfortable ,Left footer ndiye anakuwa comfortable kupiga pass katika angle zote
 
Wanaume tunabandua tuu huko duniani ugenini, halafu kwenye ligi wala hata hatuna haraka mana kila mtu atajipanga kwenye nafasi yake soon as possible.
Kwetu Ni advantage hatutumii nguvu kwenye europa inahitaji Gear no1 TU , kuongeza kundi, bila kutumia key players

Wewe una risk kubwa ya kuingiza injury maana inakulazimu utume gear no.4
 
Na timu nyingi hua zinamtageti sana yeye kwenye ile backline yote ya arsenal, mara zotr hua nasema hawez kubadilika hata iweze miaka miwili nyuma alikua yeye na Xhaka ila saiv kabaki yeye asiyeweza kubadilika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…