Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Leo wachambuzi uchwara wa humu wako wapi....mbona mapema sana?
 
Tulikua kwenye form lakin nyie mlikua kwenye form zaidi yetu, leo tuko kwenye form zaidi na nyie mmedolola
usitegemee muujiza, leo kipigo akikwepeki
 
Arsenal leo ngoja nipime ubora wenu maana Liverpool kapanga nondo kweli kweli mkitoboa hapa ndajua kweli mnaweza fukuzia top four.
 
Tomiyasu left back, Zinchenko hata bench hayupo, ni majeruhi au nini?
 
Here we go again

Liverkuku anaenda kutandikwa kisawa sawa

Kikosi kipo njema

Fimbo nne heavy
 
Tsmikas
Arnold
Hao hawana uwezo wa kuwazui saka na martinel wakiamua kufanya jambo lao
Na pia hawatakua na jeuri ya kupanda sana mbele

Henderson na alcantara hawa wote watashughulikiwa ipasavyo na Thomas yakubu partey(octopus)

Hadi hapo unapata kuona supply ya mipira kuwafikia fowards zao jinsi gani iaku ngumu

Odegard na Jesus ndio wataamua mechi ya leo
 
Wapigwe tuuuu, Ili wanaotuona tunaotea wajue tuko serious, Kuna waliosema mech tatu tu mnapiga kelele haya mpaka Sasa ni kumi tuko kileleni, wao sijui wako wapi au magari Yao hayajachanganya, tuendelee kuwemo
 
Kama si kosa la 4 au zaidi this season Gabriel anafanya blunder World Cup aisahau leo tumezidiwa kila kitu may be second half tuone but first half bora iishe Klopp kamzidi akili Arteta

Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…