Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,720
Tunajua inauma ila Kaa kwa kutulia,Litimu la kingese hili nalichukia ,pumbaf asenyeto
kwa hali hii ndio maana matukio ya afya ya akili hayaishi ,Litimu la kingese hili nalichukia ,pumbaf asenyeto
Zinny akianza maana yake middle muda wote itakuwa yetu. Jesus
Martinel. . Saka
. . odegard
. Xhaka. Partey
Zin. Gab. Saliva. White
. Ramsdale
Tunahitaji kufunguka zaidi, kama ulivyosema spurs watakaa sana nyuma
Hapo inabidi tuanze na zinchenko tu
Fimbo 3 za spurs ni swala la muda tuZinny akianza maana yake middle muda wote itakuwa yetu
Conte Leo kagoma kusema Kuhusu majeruhi alionao ,anatuchezea mind game
Pia inaonesha Kama watamkosa kulu ,atatumia 3-5-2 au akija na 3-4-3
Tutawa overload , kwenye buildup na middle
Utawaua hawa arsenyani kakaHuyu mwamba asingejiongeza basi asingenyanyua hili dude mpaka anakufa.
Bahati nzuri akawahi kushtukia mchongo akaachana na watoto akaenda kujiunga na wanaume.
Mpaka kesho akiwa anahojiwa hua anapenda zaidi kuizungumzia Manchester United aliyoichezea kwa misimu miwili tu huku akijutia na akijilaumu sana kwa kupoteza miaka yake 8 kwa Arsenyani ambako aliambulia kubeba masufuria ya ngao ya hisani.View attachment 2372509